Matokeo ya Arumeru: Salaam kwa Edward Ngoyai Lowassa!

Nipe tano

Senior Member
Jun 16, 2011
100
27
Anguko la CCM Arumeru Mashariki na Mgombea wake Sioi Sumari aka Mkwe wa EL ni teke la mwisho la fisadi Edward N. Lowassa. Kwasasa sioni muujiza wowote wa kumnusuri EL hasa baa ya kulazimisha kupanda jukwaani kumuombea mkwewe kura! Pesa alizotumia kushinikiza na kununua ushindi, HAKIKA IMEDHIHIRISHA PESA SI KILA KITU.....
 
Yeah. Kwanza yeye Lowassa ni mmeru na amewapa wameru binti, kama ameshindwa kuwashawishi ni vipi anaweza kupata support ya urais?
 
MUNGU ni zaidi ya pesa..ukuta wa Jeriko zama za taifa la MUNGU Israel uliangushwa kwa kuimba na kuuzunguka mara saba siku ya saba.Natamani kutoa machozi wakuu,MUNGU tunakushukuru kwa kuwa upande wetu.Mashetani hawa CCM wameshindwa kwa uwezo wako.Thanx God!! Okoa Taifa hili.
 
Wananchi wameamka asanteni sana wana chadema kwa kazi nzuri mliyoifanya ni wazi kuwa Lowasa akisimamishwa kugombea uraisi atapata kura nne ,ya kwake ,ya sioi na mkewe na ya mke wake.
Lowasa tuachie nchi yetu
 
Lowassa nimesikiliza speech yake You tube akiwa Arumeru, jamaa namfanisha na Lyatonga, naona utawala wake unaweza kuwa na maamuzi ya kutaka sifa kwa watu bila kutumua akili. Ni maoni yangu lakini

definetly uko right
 
Wana jamvi ushindi huu wachadema umedhiirisha anguko la ccm tena hata wao wanajua!kina lusinde ati anawafanya wananchi wajinga eti mpeni sioi alifiwa apate mshahara mzuri atunze familia
 
Mjadala upewe uzito unaostahili. Tusianze kutetea na kusafisha CCM hapa kwa kisingizio cha kumshughulikia Lowassa. Aliyeshindwa ni CCM na mfumo mzima wa chama hicho. Mkapa, Lowassa, Kikwete, Msekwa, Wassira, Nape, Nchemba, Lusinde na wote walioshiriki siasa hizo ndani ya chama. Naogopa tukim-single out Lowassa tunajikuta tunatuma ujumbe nusu nusu kwa jamii. La msingi ni hili hapa: Ushindi huu wa Chadema ni wake up call kwa CCM nzima!
 
Wananchi wameamka asanteni sana wana chadema kwa kazi nzuri mliyoifanya ni wazi kuwa Lowasa akisimamishwa kugombea uraisi atapata kura nne ,ya kwake ,ya sioi na mkewe na ya mke wake.
Lowasa tuachie nchi yetu

sidhani kama mkewe anaweza kuimpigia kura!
 
Hv huyu EL mbona nguvu nyingi kuelekea magogoni? Mwal.jk Nyerere aliwahi kum-doubt huyu man kiasi hata mm nashindwa kumuelewa huyu mutu. hv ni kweli anaguswa na matatizo ya wa-tz kiasi hicho au ????????tafakari...chukua hatua.
 
peoplezzzzzzzzzzZZZ!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!Asante Mungu, hongereni wapampanaji
 
Back
Top Bottom