MATOKEO kutoka vituo mbalimbali, Arumeru Mashariki

Status
Not open for further replies.
baada ya matokeo ya mijini mingi kuonyesha cdm wanaongoza, sasa matokeo ya vijijini yameanza kutolewa huku ccm ikiifunika kwa mbali chadema! hii nafananisha na mchezo wa marathon ambako watu huanza taratibu na kuongeza kasi kadri mda unavyoenda....mfano ni "Matokeo ya kata ya akheri.
Nkoanrua1 cdm 192 ccm 60
Nkoanrua 2 cdm 166 ccm 56
Ushirika akheri 1 cdm 70 ccm 115
Ushirika akheri 2 cdm 46 ccm 250
ushirika akheri 3 cdm 33 ccm 268
kimundo cdm 63 ccm 181
kimundo 2 cdm 61 ccm 150mfano ni

hakuna vituo vingine mbona tangu saa 12 hadi sasa mnarudia tu hivi,,,
 
Mnanifurahisha sana, ukiona 116 28 wale learned brothers wanasema take judicial notice, yaani haitaki ushahidi wala maandishi mengi inajulikana 116 ni CHADEMA na 28 ni ya mpinzani CCM
 
baada ya matokeo ya mijini mingi kuonyesha cdm wanaongoza, sasa matokeo ya vijijini yameanza kutolewa huku ccm ikiifunika kwa mbali chadema! hii nafananisha na mchezo wa marathon ambako watu huanza taratibu na kuongeza kasi kadri mda unavyoenda....mfano ni "Matokeo ya kata ya akheri.
Nkoanrua1 cdm 192 ccm 60
Nkoanrua 2 cdm 166 ccm 56
Ushirika akheri 1 cdm 70 ccm 115
Ushirika akheri 2 cdm 46 ccm 250
ushirika akheri 3 cdm 33 ccm 268
kimundo cdm 63 ccm 181
kimundo 2 cdm 61 ccm 150mfano ni

akheri sio vijijini,pole sana!
 
Huku tukiyapokea matokeo ya awali kwa matumaini, kumbukeni kutangulia sii kufika!. Busanda na Biharamulo ilikuwa hivi hivi, mpaka tunalala usiku wa manane, mji mzima walikuwa wanasheherekea ushindi, kufika asubuhi, CCM ikaibuka kidedea!.

Kwa taarifa tuu, CDF, IGP na Mkurugenzi wa TISS, wako macho usiku kucha huku vijana wa Hosea wakizuga zuga!.

"The end justifies the means!", uchaguzi uliisha!.
I see....

Wanabodi kwa kadri matokeo ya awali ya Arumeru yanavyozidi kutoka, vituo vyote vilivyotangaza matokeo ya awali hakuna hata kituo kimoja ambacho CCM inaongoza!.

Inawezekana CCM imekula kipigo cha mbwa mwizi!.

Mimi nilijiaminisha uchaguzi ulisha kwisha kitambo leo ilikuwa ni uthibitisho tuu!.

Halafu ukiambiwa wewe ni mnafiki na mpotoshaji mkubwa unakata....

Btw....Usisahau pia kwamba sometimes 'The Means Jusitifies the Ends'
 
hapa tusubirini matokeo ya kata. sitaki kuamini moja kwa moja ushindi wa vituo. Hakuna kitu kinachouma kama kuona unashinda hivi halafu mwishowe unaambiwa umeshindwa eti kisa mtaji ulikuwa maporini
 
Huku tukiyapokea matokeo ya awali kwa matumaini, kumbukeni kutangulia sii kufika!. Busanda na Biharamulo ilikuwa hivi hivi, mpaka tunalala usiku wa manane, mji mzima walikuwa wanasheherekea ushindi, kufika asubuhi, CCM ikaibuka kidedea!.

Kwa taarifa tuu, CDF, IGP na Mkurugenzi wa TISS, wako macho usiku kucha huku vijana wa Hosea wakizuga zuga!.

"The end justifies the means!", uchaguzi uliisha!.

Pasco kumbe unaamini kuwa CCM hushinda kwa mbinu chafu. Bora yako sio kama Rejeo ambaye kila CCM ikitangazwa mshindi yeye anadhani ni box la kula limeamua. Unatambua kuwa kwenye siasa ushindi wa kulazimisha mara zote sio endelevu?
 
Adjusted report IV

NOVITUOCDMCCMTOFAUTI
1Chama19260132
2Elimu1014655
3Embaseni A1045252
4Enguseni A1146252
5Kata ya Akeri A19290102
6Kata ya Akeri B19656140
7Kijiji cha Nguruma946826
8Kikatiti1046242
9Kikuleto Ofisini1048420
10Kikwea A14210438
11Kikwea B1091090
12Kimundo 163181-118
13Kimundo 261150-89
14Kisalambe 11106347
15Kisalambe 21135657
16Kisambare A1106347
17Kisambare B53113-60
18Kisanda A1155-44
19Kwalisamba113140-27
20Kwandua A60192-132
21Kwandua B16656110
22Leganga A14620126
23Leganga B13127104
24Magadirisho 11163779
25Magadirisho 21113774
26Maji ya Chai A1305377
27Maji ya Chai B1056837
28Maji ya Chai C1154273
29Maji ya Chai D1185365
30Maji ya Chai E1056045
31Makiba2395-72
32Makiba Majengo 0293876
33Makumira A1184276
34Makumira B1004258
35Makumira C925042
36Makumira D684028
37Mawenzi88100-12
38Mbaseli845826
39Mbuguni1327260
40Misufini A120952157
41Misufini A219540155
42Misufini A320845163
43Mjimwema 41263789
44Mjimwema A1445193
45Mjimwema B14133108
46Mjimwema C1253590
47Morive12828100
48Msitu wa Tembo A80764
49Msitu wa Tembo B988711
50Mwarua14634112
51Mwibaru1238736
52Ngarasero1165165
53Ngaresamvu16314023
54Nguruma94886
55Nkoanrua 119260132
56Nkoanrua 216656110
57Nshatu 31107436
58Ofisi ya Kata Majengo (Makiba)7588-13
59Ofisi ya Kata Makiba952372
60Ofisi ya Kijiji A82128-46
61Ofisi ya Kijiji Mbaseni845826
62Ofisi ya Kituo Ngaresanbo16314023
63Ofisi ya maruango A1217249
64Ofisi ya maruango B1206357
65Ofisi ya Maruango C1068026
66S/M Magadilisho A1163779
67S/M Magadilisho B1113477
68S/M Mazoezi 11204971
69S/M Mazoezi 215850108
70S/M Mazoezi 312720107
71S/M Mazoezi 41244579
72S/M Miembeni 1103967
73S/M Migundani A1065254
74S/M Migundani B18310182
75S/M Mirirm A1058817
76S/M Mirirm B1015744
77S/M Nasura A79790
78S/M Nasura B917417
79S/M Shiston A59100-41
80S/M Shiston B5588-33
81S/M Shiston C4479-35
82S/M Sinai A3094-64
83S/M Sinai B96188-92
84shule msingi Misufini1327260
85Shule ya Msingi Ambureni 0219447147
86Shule ya Msingi leganga14226116
87Sing'isi 120952157
88Sing'isi 219540155
89Sing'isi 320845163
90Tengeru Chuoni1142490
91Tengeru Hospitali22040180
92Urafiki562828
93Usa River A14226116
94USA River Shule ya Msingi1113774
95USA River Sokoni 11032974
96USA River Sokoni 2884147
97Ushirika 216659107
TOTAL 11,485 6,468 5,017


Kazi inaendelea

Mbona wakati kata ziko 75 ..CDM walikuwa wana kura alfu tisa na ...vituo vimeongezeka kura zimepungua..ndio maruhani yenyewe au....?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom