Hongera nasari!
Huu ni ushahidi kwamba watanzania wamechoka. Ni vema CCM ikazisoma alama za nyakati na kufanya marekebisho ya dhati. Pamoja na kuwa Mwana CCM, napenda uchaguzi 2015 CCM tushindwe, tukae nje ya dola, tujirekebishe. Ningependa kisiwepo chama kitakachoshika madaraka zaidi ya miaka 10, vinginevyo nchi inabadilika na kuwa kama ya kifalme, wekubwa kurithishana vyeo. Unayajua majina!!:smile-big: