MATOKEO kutoka vituo mbalimbali, Arumeru Mashariki

Status
Not open for further replies.
Matokeo ya jumla yatatangazwa muda gani? Hope wema (CDM) utafanikiwa kuushinda uovu (ccm).
 
msome huyu naye
hivi hao wazee na akina mama hawapo bukombe, ukerewe, hai, na kigoma? Vipi huko kote hakuna vijiji?

Pole, inahitaji uelewa mkubwa sana kuzielewa siasa za Tanzania...tuna safari ndefu kuelekea mabadiliko, ingawa kwa sasa inarahisishwa na ugumu wa maisha.....fahamu kwamba CCM is an institutionalised party, kuing'oa inahitaji a multi-pronged approach...CDM are playing their part at least...
 
Mkuu,
Mimi ni mwanachama wa CDM,Kiukweli matokeo hadi sasa yanatia moyo.Lakini ukweli ni kwamba CCM ina uwezo mkubwa kutetea jimbo hili.Watashinda kwa kura za vijijini.
Maeneo ya mijini watu wameamka na kuisupport Chadema. Subirini matokeo ya vijijini!.
 
mpaka hapo Nassari anaonekana ana uwezo wa kuongeza kura zaidi 2010 election, issue itadhihirika itakapofikia 200polling station
 
Nahisi ITV wamepigwa BITI maana wamekatisha live updates kuhofia kutangaza ukweli na later magamba wakichakachua patachimbika....

Huu ni ujinga wa vyombo vyetu vya habari...

TBC siku ile ya uchaguzi wa MAREKANI walikesha lakini leo wanfanya upu..u..Zi tu hatuwaelewi hawa jamaa.
 
Naomba kama kuna mtu anaweza kutuwekea matokeo ya vituo CCM ilivyoongoza.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom