Otorong'ong'o
JF-Expert Member
- Aug 17, 2011
- 37,711
- 26,046
Shule bora 10, na shule 'bomu' 10 Form 4 yaliyotoka leo hii.
Shule 10 bora Kitaifa:
1. Kaizirege - Kagera
2. Mwanza Alliance - Mwanza
3. Marian boys - Pwani
4. St. Francis - Mbeya
5. Abbel - Mtwara
6. Feza Girls
7. Canossa - Dar es salaam
8. Bethel Sabs Girls - Iringa
9. Marian Girls - Pwani
10. Fedha Boys
Shule 10 za Mwisho:
1. Manolo - Tanga
2. Chokocho - Pemba
3. Kwaluguru - Tanga
4. Relini - Tanga
5. Mashindei - Dar es Salaam
6. Njelekela Islamic Seminary - Kigoma
7. Vudee - Kilimanjaro
8. Mnazi - Tanga
9. Ruhembe - Morogoro
10. Magoma - Tanga
NB: Naomba tuangalie jinsi za kuzikwamua hizi za mwisho.
p377/191 lugalo centre j.w.t.zkama hujaona matokeo yako ya form 4 2014,tupia namba yako ya form 4 (exams number) nami nitakuwekea matokeo yako. :smile-big: :embarrassed1: :a s embarassed: :disapointed: :heh: :lol: :juggle:
Mimi sijui jamani unafauru GPA ya ngapi? Au masomo ya balance kwa daraja gani? nielezeni jamani maana nina.
k-d
bios-d
basic M-f
yanayo baki-E
s0247/0058
f
4.0
distinction
civ - 'b' hist - 'b' geo - 'b+' b/knowl - 'b+' kisw - 'b+' engl - 'a' phy - 'b' chem - 'b+' bio - 'b+' b/math - 'b'
s4818/0060
f
2.7
merit
civ - 'c' hist - 'b' geo - 'c' kisw - 'c' engl - 'b+' phy - 'b' chem - 'c' bio - 'b' b/math - 'c'
P.377/191 LUGALO CENTRE JWTZ niangalizie mkuuSubir advance
haya matokeo bado watu wengi hawayaelewi.
yamekorogwa ili kuwachanganya wazazi
p.377/191 lugalo centre jwtz niangalizie mkuu
p0377/0191 | m | - | pass | hist - 'b' geo - 'b' kisw - 'x' |
p0377/0191
m
-
pass
hist - 'b' geo - 'b' kisw - 'x'
Shule za Kanisa Katoliki zinazidi kukimbiza....Hongera shule za Kanisa
Mkubwa KINACHOENDELEA KIKO WAZI KABISA.
CCM HAIKUWA TAYARI KUENDELEA NA MFUMO UNAOELEWEKA NA WATANZANIA WENGI.
HIVYO WAMEKUJA NA HZI COSMETICS AMBAZO HAZIELEWEK.
SHULE ZA KATA ZINAZALISHA WATOTO WASIOJIWEZA, HVYO NI BORA KUMPA MTU PASS KULIKO DIV. FOUR..
NI UJINGA MTUPU.
nadhani itakua hivi
distinction=div one
merit=div two
credit=div three
pass=div four
fail=div zero
Mchome ndiyo anazingua, mara aje na "E" mara "+" mara GPA sasa what i wonder hayo manjonjo yote ya nini? kubadilisha mfumo uliokuwepo wa division na kuja na huu wa GPA ndiyo unainua elimu????