Matokeo Kidato cha Nne 2014 yametoka: Sekondari ya Kaizirege yaongoza

Kama Ni kweli haya ndio matokeo basi huo mpango wa Big Results Now BRN bora uitwe Big Failure Now BFN
 
Mimi sijui jamani unafauru GPA ya ngapi? Au masomo ya balance kwa daraja gani? nielezeni jamani maana nina.
k-d
bios-d
basic M-f
yanayo baki-E
 
Asalaleeeee hizo fail zinakuja mtaani mamaaaaa tumekwisha idadi ya wezi na wanaojiuza itaongezeka poor tanzania
 
Kupata matokeo ya kidato cha nne kwa njia ya sms andika ujumbe
matoke*kituo*namba ya mtahiniwa*k4*2014 kwenda 15311 mfano: t
matokeo*s0101*0001*k4*2014
Kujua shule imeshika nafasi ya ngapi tuma ujumbe: rank*centre number*exam type*exam year mfano: rank*s0110*k4*2014 kwenda 15311
 
wanasiasa mna maneno mengi, mi si mwanasiasa.

Ukinifuatili vyema ktk uzi huu. Kuna maswali nimeuliza. Waite jopo lako mtusaidie kuelewa.

Eti wanalinganisha na mfumo Wa chuo kikuu! Huu ni upumbavu mwingine katika elimu yetu! Watueleze hapa "A" yao inaanzia marks ngapi mpaka ngapi? Usijekuta watu wanapigia "A" = 65% ili kudanganya wazazi!! Nchi letu ni la Wa.pumba.vu! Eti kisa kuirahisishia TCU katika kufanya udahili, kwani kuna siku iliwalalamikia? Kama ni hivyo kwa nini huu mfumo usianzie A-level? Form 4 abadahiliwa na TCU kwenda wapi?
 
Kuna mkoa umekuwa wamwisho maana umetoa shule zaidi ya mbili kwenye kumi za mwisho sijui walikuwa wanafundisha au walikuwa wanafuatilia mahakama ya.....

ni mkoa wa tanga, umetoa shule 5 za mwisho, kuna miembe mingi huko, nadhani walimu na watoto wanashinda huko kufundisha jando na unyago!
 
Back
Top Bottom