Matapeli wa mapenzi humu JF

hHii hatari kweli!! hii kutojuana, unaweza ukatongoza siku ya kukutana unakuta ni dada yako!
 
Aisee hilo onyo muhimu, nimekusoma...

...ila kwanini kamati ya Olympic haikukuona mwezi August, ungetufaa unajua? Just kidding
 
Mweeee. Pole ..Kwenye msafara wa Mamba na kenge wamo.. Cha msingi ni kuwa makini na kila kitu katika maisha. I assure you matapeli wapo kila mahali...hata watu unaowafahamu...hata ndugu yako...
 
Hahahahahahaha.... Nimecheka kwa huzuni. Pole sana, ahsante kwa tahadhari. Nishahairisha kuonana na naniliiii, asije nijia na vibaka bure. Lol
 
Wachaaaaaa! Wewe Huyo Paxxxxx! Ila ulionja kwanza!!! LOL! Weee Mbayaaaaaaaaaaaaaaaaa! (in Joti's voice) Kwa hiyo saa hivi tambarareeee! LOL! Nisamehee kwa upekupeku ila naomba kuuliza ULIVUTIWA NA NINI KWAKE? Au Comments? LOL! Ngoja nianze kucomment KICHURCH CHURCH, naweza bahatika MBUZI ALIENONA KWENYE GUNIA!!! LOL!

siku zote hili swali la nimevutiwa na nini kwake siwezi kulijibu ila naamini bahati niliyonayo kwa sasa 4 a relationship sitaikuta popote endapo nitaichezea maybe aichezee yeye God will pay me. So I tried to think what can I tell you lara 1 but nimeshindwa. She is decent sana and a wife material...! the way she handles every step of our way ni nyenzo kuu ya kumpenda sana! Blessings to JF founders and Glory to God.
 
Last edited by a moderator:
sasa mbona hukuniambia mapema? Nshaanguka tayari

itabidi niende na bodigadi.

Ungekuwa serious ungemtaja huyo memba ili Kongosho nae asibambwe manake hajui kukimbia.
That is why i dont believe in cyber love, lol
 
Last edited by a moderator:
naona umekasirika mkuu....jamaa kakipakazia kijiwe chako eh....!
Mwambie bana tena leo nitakuwa hapo mida ya saa kumi jioni, nina miadi, kama kikinuka nitaku PM tukisanue wote, si una namba ya IGP Mwema... Mwambie aweke Defender stand by pale maeneo ya njia panda ya ITV
pale mbona vatican tu mtu wangu!!??. mia
 
Hata mkulu alisema usipo kubali kuliwa kidogo huli!so hamna vya bure!vipi moka haikuchomoka???
 
mkuu andreakalima tutajie hiyo id, japo stori inasisimua lakini usipotaja id wengi wataamini umetunga,
 
Last edited by a moderator:
Hongera zako nyingi... Naunga mkono hoja yako ya muanzisha thread amtaje huyo tapeli ili apewe kibano cha maisha maana watu wenye tabia kama hizi wakiachiwa kushamiri wataichafua JF na hivyo kuishushia hadhi yake.

Katika maisha yote yanawezekana kabisa, hili lililokutokea lisiichafue JF natetea kwa sababu kuna watu wamepatana JF na mpaka sasa wanaishi kwa amani. Mimi mwenyewe ni mfano wa watu waliopata mchumba JF..

Ni vizuri ukimtaja huyo muhusika hapa.
 
Hii mi naweza amin kuwa ni ya kweli.
mi rafiki yangu yaliwahi kumkuta (ila haikuwa jf) ilikuwa -mokospesi-

Ila walioko mitandaono ndo hao hao wa mitaani, cha muhim ni kuwa makain na watu tusiowafaham vizuri.
Na mkipanga appointment angalia na security ya eneo vinginevyo uchukue tahadhari za kutosha.
 
Hongera zako nyingi... Naunga mkono hoja yako ya muanzisha thread amtaje huyo tapeli ili apewe kibano cha maisha maana watu wenye tabia kama hizi wakiachiwa kushamiri wataichafua JF na hivyo kuishushia hadhi yake.
Asante BAK kwa kweli mtoa maada alitakiwa aweke wazi hata kama muhusika ana akaunti nyingi basi itakayotajwa ishughulikiwe! anyway JF itazidi ku bring the most I hope!
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom