KakaJambazi
JF-Expert Member
- Jun 5, 2009
- 18,711
- 12,067
Kwenye rede (ready) sasa utasikia ....foo foo foo..............kumbe ndo foul. Foo kwisha.
Kwenye rede (ready) sasa utasikia ....foo foo foo..............kumbe ndo foul. Foo kwisha.
kwenye rede (ready) sasa utasikia ....foo foo foo..............kumbe ndo foul. Foo kwisha.
.......hii zaidi ilikuwa kwa wale ambao hawawezi utani lakini ni mabaunsa!Mmenikumbusha mbali kweli.
Kwa sisi wengine hatima yake ilikuwa ni kuchora mstari chini,"kama wewe ni mwanamume kweli vuka"
Bai shoo i love you baby, the baby to the son, the son to the owner the owner to the man,
the man to the put there, there one two three four.
Afu mnakombuka msemo wa computer haikosei.
unaikumbuka wantu taima shuu freefoo shatedo faiv siks kauntesti sevenei kip ze stret nine ten ebi fat hen
unaikumbuka wantu taima shuu freefoo shatedo faiv siks kauntesti sevenei kip ze stret nine ten ebi fat hen
hahahaha! lol! umenikumbusha mbali kweli!
nakumbuka wimbo wa baisho i love you baby, mwisho kumbe ni thre one, two, sisi tulikuwa tunasema "tarawan, tu, srii kata kona tara one, tu, sirii......."
twende twende.......sura kama unasubiri kupiga chafya