Mlalahoi
JF-Expert Member
- Aug 31, 2006
- 2,182
- 883
Naona mmejisahau sana.....mmebebwa na sasa mmesahahu.
Narudia tena:
Baada ya miaka 50 ya kuachia kundi moja la jamii likistarehe na hali Waislamu wanateseka, umefika wakati sasa wa kugawana machungu ya udini tuliyoyabeba peke yetu kwa miaka hamsini.
Need we say more??
Yes,you need say more.For instance,kwanini mnakwepa kubainisha kuwa wahusika wakuu wa UJAMBAZI wa Richmond na Dowans ni Kikwete (Muislam),Rostam (Muislam),Nazir Karamagi (Muislam) Ibrahim Msabaha (Muislam),Idris Rashind (Muislam) na Edward Lowassa ambaye ni Mkristo (aliyeteuliwa na Muislam mwenzenu Kikwete).
Je hizo Bilioni 85 wanazotaka kuilipa Dowans zitapelekwa misikitini au kwenye akaunti binafsi za mafisadi hao?
Au,tukiweka kando suala la ufisadi ambao unamwathiri KILA MLALAHOI PASIPO KUANGALIA ANASALIA KANISANI AU ANASWALI MSIKITINI,je aliyewaahidi Mahakama ya Kadhi mwaka 2005 alikuwa Kardinali Pengo au MUISLAM MWENZENU Kikwete na ustaadh mwenzie MAKAMBA?Mnajua mmeingizwa mkenge,na mnajua waliowaingiza mkenge,lakini kwa vile nyie ni vichwa maji,mnakimbilia kuwalaumu Wakristo.
Mafisadi wameshabaini kundi gani linaweza kuwatumikia kirahisi kuendeleza ajenda zao za kuifilisi Tanzania.Na mnatumika kama hamna akili nzuri.
Tuondoleeni uzushi wenu hapa.Tuna mambo ya muhimu zaidi ya kudili nayo kuliko kusikia upuuzi huu.Na kuthibitisha ubabaishaji wenu,mmeshindwa hata kutoa hitimisho as to NINI KIFANYIKE.Endeleeni kulialia kama watoto,mkichoka mtanyamaza.