Matamko ya (baadhi) waislam (Dar na Mwanza)

Status
Not open for further replies.
Safi sana Waislam ila tatizo tamko lenu halina solution ya matatizo inaonekana mlitaka kututisha tu. Nashauri mje na tamko linalosema kwa mfano nchi igawanywe kutoka sehemu fulani hadi sehemu fulani. Kwa tamko mlilotoa inaonekani ni daganya toto tu! Na kama hili ndilo tamko lililotolewa na Wanazuoni wa Kiislam basi mnayo khasara kubwa kwani lime-expose udhaifu wenu kwa kiwango cha juu!

Wewe wasema, waislamu wanatuelewa tulitegemea wewe na wengine msituelewe kwakuwa mmelewa madaraka...
 
ruksa siku hizi kuchanganya siasa na dini upo mkuu au bado umelala fofofo

Nimekupata kaka ila tatizo letu sisi waislam hatuwezi ku walk on our words, hao walioandika huo waraka wakipigwa mpunga na pesa kidogo wanauza maslahi yetu kwa kitu. Wachache sana wenye kuweza kusimama kidete mfano Sheikh Ali Basaleh lakini hana msaada wowote.

Mfano kwenye ilani ya chama chetu tawala ya mwaka 2005 iliyoandaliwana idara ya itikadi na uenezi ya chama na kupitishwa kwenye CC ya chama kulikuwa na kipengele cha mahakama ya kadhi. Tuache unafiki wote waliisifia ile ilani mapadre, makasisi na mashekhe wakamuita JK chaguo la Mungu. Ilipokuja mjadala wa mahaka ya kadhi kilichotokea sote tunakijua.

Silaha ya waislam ilikuwa kwenye sanduku la kura lakini kwa mgawanyo wetu na unafiki wetu yaliyojiri mnayajua sina mengi ya kusema ila ukweli utabaki pale pale. Itatuchukua miongo mingi sana kujipanga kupata solution ya matatizo ya kiislam na uislam.

My Take,

Waislam hawawezi kubadilika na hawatabadilika.
 
Hii kali. Sasa wale Waislam walioko kwenye mikoa yenye Wakristo wengi mmekusudia wafanyeje?
 
Jamani , kulalamikaaaaa kutwa, ingekua Rais Mkristo wangesema wanaonewa, adui wetu waislamu ni waislamu wenyewe, Tunajilaum kwa mambo yaliyo ndani yetu. TUNAOGOPA VISIVYO OGOPESHA.

UKITAKA KUJUA SISI NA MASHEHE WETU TUNAJIDHALILISHA ANGALIA MATAMKO YETU, Yamepwaya, hayana uzito wala mantiki, Maaskofu wakikemea Jambo, Mashehe wanakuja kujibu, ahaaaah kinyaa kabisa, Maaskofu wanawapuuza mashehe, kwakua wanaonekana ni watu wasio na ufahamu, uelewa na wala elimu katika maisha ya kawaida.

Soma hiyo thread juu, ni ujinga unaoweza kuukuta ndani ya Gazeti la Annuur na redio Imani sijui ya kule Morogoro.

tunajidhalilisha sana.
 
Nimekupata kaka ila tatzizo letu sisi waislam hatuwezi ku walk on our words, hao walioandika huo waraka wakipigwa mpunga na pesa kidogo wanauza maslahi yetu kwa kitu. Wachache sana wenye kuweza kusimama kidete mfano Sheikh Ali Basaleh lakini hana msaada wowote.

Mfano kwenye ilani ya chama chetu tawala ya mwaka 2005 iliyoandaliwana idara ya itikadi na uenezi ya chama na kupitishwa kwenye CC ya chama kulikuwa na kipengele cha mahakama ya kadhi. Tuache unafiki wote waliisifia ile ilani mapadre, makasisi na mashekhe wakamuita JK chaguo la Mungu. Ilipokuja mjadala wa mahaka ya kadhi kilichotokea sote tunakijua. Silaha ya waislam ilikuwa kwenye sanduku la kura lakini kwa mgawanyo wetu na unafiki wetu yaliyojiri mnayajua sina mengi ya kusema ila ukweli utabaki pale pale. Itatuchukua miongo mingi sana kujipanga kupata solution ya matatizo ya kiislam na uislam.

My Take,

Waislam hawawezi kubadilika na hawatabadilika.

Utashangaa safari hii mkuu hayo tunayosema yatafika mbali, wewe uliyekata tamaa shauri yako, mimi siamini katika kukata tamaa mahakama ya kadhi itakuwepo, na haki zingine pia zitapatikana we don't care when and how? sisi ni wenye kushinda tu..tulishinda wakoloni sembese hawa...
 
kama unataka kujua kama watu hawa walioandika hiyo article wamekosa shule, angalia tu mwenyewe hicho wanachokisema hapo...ni utumbo huwezi amini hawa ndo wanaswalisha watu. sasa wanataka nini? unajua, mimi nafikiri ifikie kipindi selikali ijitoe kabisa, iondoe misamaha ya kodi, irudishe hospitali zote za kidini na shule zote za kidini, halafu ituache sisi wakristo tujiendeshe wenyewe, kwasababu kinachoonekana hapa ni WIVU na si sababu yoyote, wivu tu. jamani, sisi tunajenga mashule na hospitali kwa sadaka zetu, tunajenga pia kwa misaada toka ulaya....ninyi mbona hamuwezi?
 
Hata sisi tunaombea hayo yatokee, ili kuwe na justice.
 
Jamani , kulalamikaaaaa kutwa, ingekua Rais Mkristo wangesema wanaonewa, Adui wetu waislamu ni waislamu wenyewe, Tunajilaum kwa mambo yaliyo ndani yetu. TUNAOGOPA VISIVYO OGOPESHA.
UKITAKA KUJUA SISI NA MASHEHE WETU TUNAJIDHALILISHA ANGALIA MATAMKO YETU, Yamepwaya, hayana uzito wala mantiki, Maaskofu wakikemea Jambo, Mashehe wanakuja kujibu, ahaaaah kinyaa kabisa, Maaskofu wanawapuuza mashehe, kwakua wanaonekana ni watu wasio na ufahamu, uelewa na wala elimu katika maisha ya kawaida.
. somo hiyo thread juu, ni ujinga unaoweza kuukuta ndani ya Gazeti la Annuur na redio Imani sijui ya kule Morogoro.
tunajidhalilisha sana.

Hujasoma tamko vizuri umekurupuka haya mambo yana historia na yataisha kwa uangalifu mkuu na jicho lenye akili
 
Anayedhulumiwa ni mtu anayeteseka. Asipopambana na huyo dhalimu, yeye ataendelea kuteseka wakati dhalimu anastarehe kwa amani. Akiamua kupambana, wote yeye na dhalimu watateseka. - Nyerere
Naona ndicho ndugu zetu maaskofu walichokuwa wanategemea: Umefika wakati sasa wa kugawana machungu ya udini tuliyoyabeba peke yetu kwa miaka hamsini.
 
mnataka kugawanya udini kwa kutuuwa na mapanga?kwa waraka wa namna hii ndio maana tv stations na magazeti waliona aibu kuusoma!mk
 
kama unataka kujua kama watu hawa walioandika hiyo article wamekosa shule, angalia tu mwenyewe hicho wanachokisema hapo...ni utumbo huwezi amini hawa ndo wanaswalisha watu. sasa wanataka nini? unajua, mimi nafikiri ifikie kipindi selikali ijitoe kabisa, iondoe misamaha ya kodi, irudishe hospitali zote za kidini na shule zote za kidini, halafu ituache sisi wakristo tujiendeshe wenyewe, kwasababu kinachoonekana hapa ni WIVU na si sababu yoyote, wivu tu. jamani, sisi tunajenga mashule na hospitali kwa sadaka zetu, tunajenga pia kwa misaada toka ulaya....ninyi mbona hamuwezi?

Walioanzisha upendeleo huu wa misamaha ya kodi, ruzuku n.k walijua exactly this is what will happen in the future. Wakati watakapo kuwa wamepiga hatua kubwa mno kiasi hata kufikika hawafikiki..wamejaa kwenye idara zote za serikali, wana idadi kubwa ya shule na vyo vikuu, wana vitua vya afya na hospitali bora kabisa na wana wana taaluma bora na wengi mno.

Ila dhulma kamwe haijengi na malipo ni hapa hapa duniani, lazima kizazi kimojawapo kitakuja pata haki za waliodhukumiwa wazazi wao. Wewe huwezi kukata watu kodo za serikali na kwenda kuimarisha makanisa na taasisi zake. Tunaamini kama Mungu wetu ji Mungu wa haki na yeye ndio mlipaji wa yote juu ya dhula zote. Tuna Yaqiin atatusaidia tu!
Ma'ssalaam.
Shkh Yahya
 
mkuu nimeisoma yote kama ndivyo wanafikiri bdo kazi ipo kuelimishana "elimu kitu muhimu sana" elimu za madra zina mambo yake tusiwalaumu sana
 
mnataka kugawanya udini kwa kutuuwa na mapanga?kwa waraka wa namna hii ndio maana tv stations na magazeti waliona aibu kuusoma!mk

stations nyingi ni zenu, tutatumia njia zingine ili kila muislamu afahamu historia na kinachoendlea tangu enzi hizo..ok

acha emotions jadili hoja, hoja ipi si kweli?
 
waliowaletea hizi dini wenyewe wako kimya wanawaza maendeleo,nyinyi mnawaza kubaguana, kama sio akili mbovu ni nini?
miafirika bwana tuko hovyo!
 
Nimekupata kaka ila tatzizo letu sisi waislam hatuwezi ku walk on our words, hao walioandika huo waraka wakipigwa mpunga na pesa kidogo wanauza maslahi yetu kwa kitu. Wachache sana wenye kuweza kusimama kidete mfano Sheikh Ali Basaleh lakini hana msaada wowote.

Mfano kwenye ilani ya chama chetu tawala ya mwaka 2005 iliyoandaliwana idara ya itikadi na uenezi ya chama na kupitishwa kwenye CC ya chama kulikuwa na kipengele cha mahakama ya kadhi. Tuache unafiki wote waliisifia ile ilani mapadre, makasisi na mashekhe wakamuita JK chaguo la Mungu. Ilipokuja mjadala wa mahaka ya kadhi kilichotokea sote tunakijua. Silaha ya waislam ilikuwa kwenye sanduku la kura lakini kwa mgawanyo wetu na unafiki wetu yaliyojiri mnayajua sina mengi ya kusema ila ukweli utabaki pale pale. Itatuchukua miongo mingi sana kujipanga kupata solution ya matatizo ya kiislam na uislam.

My Take,

Waislam hawawezi kubadilika na hawatabadilika.

Watakulipuwa kwa hiyo statement yako ohooo!
 
Hilo ni tamko lako si la waislamu, Sisi waislamu hatuna akili fupi kama yako
 
Kheri mficha uchi ambaye baadaye ataadhirika kwa malazi ...Ninacho kiona hapa kwa hii walaka ni kama ngonjera kwa watoto wanao kaaa mtaa mmoja.
Hakuna ufikiri yakinifu wowote ulio semwa hapo ukisoma walaka huo siwezi amini kama mashehe na wanazuoni wanaweza kuandika kitu kama hiki unless uniambie wote wanaakili moja japo walio soma wapo au hawataki kusema kitu kuchangia kuwanusuru wenzao.
Poleni sana ELIMU MUHIMU JAMANI sio kukaa kijiweni na kusema yule hivi mara vile haisaidiii.

Kiukweli wenzetu wana tatizo ambalo ni General na ambalo huwa lina wa affect wote walioenda shule na wasio enda shule.
Lakini mwisho wataaa kubali kule INDIA walisha kubali na ukiona mtu masikini kupindukia india ujue ni MUSLIM na wenzao wana walalamikia ndiyo wanaojaza population yao, wanazaa watoto kumi wake wa nne uwezo wa kuwasomesha hakuna hii ni shida kweli.

Wapeni pole ndiyo walivyo hao ndugu zetu tuwaache tu kama walivyo.

Ona hapo wamefikiri nchi inaendeshwa na mkristo je angekuwa mkristo ingekuwaje?
Jaribuni kufikiri japo kidogo ila kutoa tamka lisilo na kichwa wala mguu ni upuuzi kabisa.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom