Matamko ya (baadhi) waislam (Dar na Mwanza)

Status
Not open for further replies.
Kheri mficha uchi ambaye baadaye ataadhirika kwa malazi ...Ninacho kiona hapa kwa hii walaka ni kama ngonjera kwa watoto wanao kaaa mtaa mmoja.
Hakuna ufikiri yakinifu wowote ulio semwa hapo ukisoma walaka huo siwezi amini kama mashehe na wanazuoni wanaweza kuandika kitu kama hiki unless uniambie wote wanaakili moja japo walio soma wapo au hawataki kusema kitu kuchangia kuwanusuru wenzao.
Poleni sana ELIMU MUHIMU JAMANI sio kukaa kijiweni na kusema yule hivi mara vile haisaidiii.

Kiukweli wenzetu wana tatizo ambalo ni General na ambalo huwa lina wa affect wote walioenda shule na wasio enda shule.
Lakini mwisho wataaa kubali kule INDIA walisha kubali na ukiona mtu masikini kupindukia india ujue ni MUSLIM na wenzao wana walalamikia ndiyo wanaojaza population yao, wanazaa watoto kumi wake wa nne uwezo wa kuwasomesha hakuna hii ni shida kweli.

Wapeni pole ndiyo walivyo hao ndugu zetu tuwaache tu kama walivyo.

Ona hapo wamefikiri nchi inaendeshwa na mkristo je angekuwa mkristo ingekuwaje?
Jaribuni kufikiri japo kidogo ila kutoa tamka lisilo na kichwa wala mguu ni upuuzi kabisa.

Na wewe pia hujasoma tamko, umekurupuka na prejudices zenu mlizofundishwa kanisani..lipi ambalo si kweli katika tamko..
 
Action follows, sawa tu na tamko la maaskofu ok?
what action? suicide bombings?
tamko la maaskofu lilikemea kuchagua mafisadi,inakuaje unalinganisha na uchochezi wenu? kwa kukusaidia tu adui wenu sio wakristo adui wenu ni ujinga,maradhi,umaskini,ufisadi na uchochezi wa kidini, mtu yoyote akikwambia tofauti na haya anakudanganya.
 
Mkuu Topical, nadhani kuna kitu watoa mada wanakosea kidogo. Jamani maisha magumu mbona yanatugonga wote waislamu kwa wakristo na tusokuwa na dini? umeme ukikatika..unakatika nyumba za waislamu tuu? umaskini wa kutupwa ni kwa waislamu tuu? Wakuu mnahitaji kujipanga kwa upya Hizi hoja zenu hazina mashiko kabisa. Sasa hivi Raisi ni muislam, Makamu wa Rais, Jaji Mkuu, IGP nk! Sasa hamuoni kwamba hoja zenu zimekosea timing? BASI KAMA MNAWEZA WAITENI HAO VIONGOZI AMBAO NI WAUMINI wenzenu muwape msimamo wenu.

Harafu niwaulize....kama mnasema mnadhurumiwa waislamu...mbona hamsemi hivyo kwenye sanduku la kura? Kwa nini wote msingempigia kura Lipumba? (Maana JK ni muislamu ila ni uzao wa mtakatifu Nyerere kwenye CCM!).

I strongly believe all moslems dont share this kind of nonsense! Mbona kuna waislamu wako so successful ndani na nje ya nchi..na wamefanya hivo on merit? Watu kama mnaendekeza ujinga..msitake kutugombanisha watanzania. Mnalalamikia shule za wakristo..jamani..kuna Muislamu alishabaguliwa kwa kunyimwa nafasi ya shule kwenye shule ya hao "maaskofu"? Kama yupo..ajitokeze hapa..kesi yake tutaigharimia mahakamani.....Naamini..waliotoa hili tamko ni ma-opportunist tuu....na wanataka kutumia migongo ya watu kujinufaisha..siwatofautishi na wakristo ambao wametuibia kodi zetu. Kuna waislamu wanahangaika kujitafutia mkate wa kila siku kama wengine hapa....sema tuu nyingi mnataka mlete vuguvugu na machafuko hapa...muweze kuonekana wa maana huko Saudia na kwingineko... HATUDANGANYIKI! HUU WARAKA NI WAJINGA WACHACHE WANAOJIITA WAISLAMU NDO WANATAKA KUTUGHILIBU!
 
what action? suicide bombings?
tamko la maaskofu lilikemea kuchagua mafisadi,inakuaje unalinganisha na uchochezi wenu? kwa kukusaidia tu adui wenu sio wakristo adui wenu ni ujinga,maradhi,umaskini,ufisadi na uchochezi wa kidini, mtu yoyote akikwambia tofauti na haya anakudanganya.

Actions will follow, muslims to understand the true history...nakushauri usome tamko between the lines..

Umaskini ni tatizo letu wote lakini zaidi limesababishwa na uchukuaji wa fedha za umma na kuzipeleka kwenye miradi ya kanisa kuliko ya jamii yote..justice is what we want
 
Mungu wa Israel akuangazie na Moto wa Roho Mt ukuongoze kwa kuunguza na kuchoma mawazo machafu na na yote yenye hila yaliyojaa ndani ya mioyo yenu yenye hila chafu.

Mwisho aliyekutuma na apotelee kuzimu moto wa Mungu umuwakie.
 
Mkuu Topical, nadhani kuna kitu watoa mada wanakosea kidogo. Jamani maisha magumu mbona yanatugonga wote waislamu kwa wakristo na tusokuwa na dini? umeme ukikatika..unakatika nyumba za waislamu tuu? umaskini wa kutupwa ni kwa waislamu tuu? Wakuu mnahitaji kujipanga kwa upya Hizi hoja zenu hazina mashiko kabisa. Sasa hivi Raisi ni muislam, Makamu wa Rais, Jaji Mkuu, IGP nk! Sasa hamuoni kwamba hoja zenu zimekosea timing? BASI KAMA MNAWEZA WAITENI HAO VIONGOZI AMBAO NI WAUMINI wenzenu muwape msimamo wenu.

Harafu niwaulize....kama mnasema mnadhurumiwa waislamu...mbona hamsemi hivyo kwenye sanduku la kura? Kwa nini wote msingempigia kura Lipumba? (Maana JK ni muislamu ila ni uzao wa mtakatifu Nyerere kwenye CCM!).

Acheni hoja zisizo na mashiko kama hizi! Yaani hata mtoto wa darasa la tatu akisoma hii kitu ataona kwamba waandishi hawakufikiri kwa kina. Ndo maana people hata serikali yenyewe doesnt take you serious. Maana mnashindwa kupanga hoja..ni kulalamika tuu.

Watasikia tu serikali zetu hazina tofauti na serikali za kikoloni, afadhali sasa sisi tunalalamika mnasikia? siku watu wakiacha kulalamika wakaanza kufanya kweli mtasikiliza siku hiyo?

Naamini itafika tu hiyo siku.
 
New Ala. gov: Just Christians are his family

BIRMINGHAM, Ala. – Alabama Gov. Robert Bentley told a church crowd just moments into his new administration that those who have not accepted Jesus as their savior are not his brothers and sisters, shocking some critics who questioned Tuesday whether he can be fair to non-Christians.

"Anybody here today who has not accepted Jesus as their savior, I'm telling you, you're not my brother and you're not my sister, and I want to be your brother," Bentley said Monday, his inauguration day, according to The Birmingham News
 
Naomba ufanye wewe, tamko la maaskofu sina access nalo

Ahsante mzee mimi sina uwezo kabisa wa kulitafuta. Kama wewe huna access mimi ndiyo kabisa hata kulisikia ndiyo mara ya kwanza. Ila nakusihi ukiweza kulipata libandike ili tuweze kulichambua na kulilinganisha na hili.
 
mungu wa Israel akuangazie.na Moto wa Roho Mt ukuongoze kwa kuunguza na kuchoma mawazo machafu na na yote yenye hila yaliyojaa ndani ya mioyo yenu yenye hila chafu.

Mwisho aliyekutuma na apotelee kuzimu moto wa Mungu umuwakie.

Mmmh makubwa...had wanakakobe ndani ya jamvi!!
 
mungu wa Israel akuangazie.na Moto wa Roho Mt ukuongoze kwa kuunguza na kuchoma mawazo machafu na na yote yenye hila yaliyojaa ndani ya mioyo yenu yenye hila chafu.

Mwisho aliyekutuma na apotelee kuzimu moto wa Mungu umuwakie.

Mambo hayo kwa mujibu wa kitabu gani katika vitabu vitakatifu? au unabuni
 
Actions will follow, muslims to understand the true history...nakushauri usome tamko between the lines..

Umaskini ni tatizo letu wote lakini zaidi limesababishwa na uchukuaji wa fedha za umma na kuzipeleka kwenye miradi ya kanisa kuliko ya jamii yote..justice is what we want

Wewe mtu huwa unafikiri kabla ya kuandika kweli? Hebu rudia kusoma ulichoandika hapo juu in red!
Kama hao waisilamu wanawategemea na kuongozwa na watu kama wewe, basi wanapoteza muda wao kulalama kwa mambo ya kufikirika tu.
Kinachoonyeshwa hapa na hilo kundi lenu la kimamluki (sio waisilamu halisi) ni chuki na wivu mlionao kwa wakrito, hakuna cha zaidi.
 
Hata wakoloni walisema hivyo?

India wakati pakistani wanaomba kujitenga walisema the same?

Of course nyinyi hamlalamiki ila mnalia poleni

Talking of Pakistan,mnavyochinjana wenyewe kwa wenyewe huko adui yenu ni Wakristo?
 
Actions will follow, muslims to understand the true history...nakushauri usome tamko between the lines..

Umaskini ni tatizo letu wote lakini zaidi limesababishwa na uchukuaji wa fedha za umma na kuzipeleka kwenye miradi ya kanisa kuliko ya jamii yote..justice is what we want

Topical,,, hapo kwenye bold nakukatalia kwa HERUFI KUBWA... una ushaidi!! Acha uchochezi wa kidini hautakusaidia chochote... Instead ungehamasisha Waislam wabuni miradi mbalimbali ya maendeleo waache uvivu na majungu na wale WACHACHE wanaoendekeza imani za kishirikina kama walivyo wakristo wachache waache. Nina majirani zangu kutwa hukaa vibarazani ukitoka wanakuona ukiingia wanakuona...... ili mradi siku zimeenda!!!!! Wanao wakishamaliza elimu ya msingi kwisha waombea atokee muoaji!!!!! Hao nao wanaibiwa na Wakristo?..... Pls stop!!!!!
 
Wewe mtu huwa unafikiri kabla ya kuandika kweli? Hebu rudia kusoma ulichoandika hapo juu in red!
Kama hao waisilamu wanawategemea na kuongozwa na watu kama wewe, basi wanapoteza muda wao kulalama kwa mambo ya kufikirika tu.
Kinachoonyeshwa hapa na hilo kundi lenu la kimamluki (sio waisilamu halisi) ni chuki na wivu mlionao kwa wakrito, hakuna cha zaidi.

Niambie ni halali kuchota pesa na kupeleka kwenye miradi ya kanisa? pesa za umma through MoU? kama huo ni wivu mkuu basi sijakusoma!

Mbona nyinyi mnakataa mahakama ya kadhi kulipiwa na serikali si ndiyo wivu au nini? tumeshtuka wala hutishi mtu..every muslimu will know and decide!
 
Topical,,, hapo kwenye bold nakukatalia kwa HERUFI KUBWA... una ushaidi!! Acha uchochezi wa kidini hautakusaidia chochote... Instead ungehamasisha Waislam wabuni miradi mbalimbali ya maendeleo waache uvivu na majungu na wale WACHACHE wanaoendekeza imani za kishirikina kama walivyo wakristo wachache waache. Nina majirani zangu kutwa hukaa vibarazani ukitoka wanakuona ukiingia wanakuona...... ili mradi siku zimeenda!!!!! Wanao wakishamaliza elimu ya msingi kwisha waombea atokee muoaji!!!!! Hao nao wanaibiwa na Wakristo?..... Pls stop!!!!!

Ruidi kusoma tamko between the line tumekupa ushahidi, si serikali wala kanisa wanapinga ok..(MoU) million of money za umma zinapelekwa kwenye miradi ya kanis kutoka serikalini ok.
 
Kwa hiyo Waislam wanataka nchi ambayo watu wote ni waislam? Halafu baadaye watakapoanza kugombana adui yao atakuwa nani? Shia au Suni? Kwa nin msiombe sasa, mipaka itakapotangazwa then kuwe na nchi tatu. Moja waachie Wakristo, ya pili Shia na ya tatu Suni.
 
In case hamtaki kila tunachoomba e.g. mahakama ya kadhi (kero kwa maaskofu), OIC (kero kwa maaskofu) tukipata haya tutakaa pamoja..ok
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom