Pearl
JF-Expert Member
- Nov 25, 2009
- 3,036
- 309
wow very few ladies do wat u say!frm me to yous bravoooo Judy at least u speak frm ur hut,very gud gal
hapo penye bold da pearl, mi labda nimeumbwa kivingine. mi siku ya kuolewa ikifika kama sijapata mchumba nitatafuta mwenyewe na nikimpata nitamwambia lote lililomo moyoni na akilini mwangu yule nitakayeona ananifaa na nitamuencourage na kumuongoza hadi tufunge ndoa. kwa kweli mi sina udhaifu wa kusubiri kuambiwa kwanza nanaamini si kukiuka maadili maadam ninalenga kufunga ndoa ambayo hakuna maadili yanayoikataza. siwezi kuwa mtumwa na wakati Mungu kishaniweka huru