Lipi suluhisho la kudumu kwa mtu mwenye harufu kali ya mwili?

Kiboko ya Jiwe

JF-Expert Member
Apr 7, 2020
12,705
36,159
Nimewahi kukutana na kuishi na watu wenye harufu kali, harufu ambayo hata nguo zao zikifuliwa kwa sabuni ya kipande inaendelea kubaki kwenye nguo zao, lakini leo nimepanda boda aisee, yule boda miwili wake una harufu kali sana.

Nikamuuliza vipi dogo umekesha nini akasema hapana ndio kaingia mzigoni asubuhi. Nikamuuliza hivi umefunga Ramadhani? Akasema ndio. Ukifunga si unajua masharti yake, usitongoze wala kutamani wadada, usivute bangi, usioge mpaka ufuturu.

Dogo bila kujua kuwa nilikuwa namvuta nimuulize kama ameoga akaingia kwenye 40 zangu. Kasema mbona nimeoga leo na kila nikifunga lazima nioge asubuhi.Saa 10 kijana anaproduce harufu kali mno na ameoga.

Wataalamu wanasema ni dalili za mtu kuwa na pepo wakali ndani yake, wengine wanasema ni genetic issues.

Ukiwa na harufu kali ni heri usioe au kuolewa. Utamtesa mwenzi wako kitandani. Wataalamu muje mutueleze suluhisho la kudumu la hili tatizo la kunuka mwili.
 
Mwenye harufu hajijyi mpka aambiwe ila wapo kuna dada alikuwa anaaruf kali mno mnoo na anaoga vizuri tu alishauriwa sijui kunawia maji ya mchele etc ila alikuja pona
 

Attachments

  • 68532865643b.jpg
    68532865643b.jpg
    43.3 KB · Views: 2
Labda inakuwa shida ya ngozi na ana mwanamke usidhan hana kila mtu hupata wa kufanana nae
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom