Vikoba imekua sababu kubwa iliyowaingiza akina dada kwenye biashara ya kuuza mwili

Nahman

JF-Expert Member
Oct 4, 2023
522
1,521
Hi guys…

VIKOBA NI NINI? ni mfumo wa kuweka na kukopa kwa wanachama waliojiunga kwa pamoja na kuunda kikundi kwa malengo ya kujikwamua kiuchumi.

Ni na ni sahihi ya kua vikundi hivi vimekua na matokeo chanya kijamii, na familia kiujumla
Ila kwa bahati mbaya kwa mkosaji wa kipato kwa muhusika imewapelekea akina dada wengi kujiingiza kwenye biashara ya kuuza mwili bila wao kupenda

Mtu anajiingiza huko ,unakuta anatumia hata majina matatu mpaka ma nne… ikiwa kipato chako sio rafiki unategemea nini?

sio mala moja kupokea ujumbe mfupi kwenye simu yangu “nahman nnaomba elfu kumi sina hela ya mchezo”
Unajiuliza kwanini unaingia kwenye mchezo wakati hauna namna thabiti ya kupata hela?
Mbaya zaidi wakiwa kwenye wakati hu mgumu hua wako radhi kufanya chochoe apate hiyo hela

Ikumbukwe ya kua fedha ya mwanaume haitumiki bule bila ya kua na manufaa kwa mtoaji kwa namna yoyote ile! Nikupe elfu kumi ikiwa sipati chochote kutoka kwako ni sawa? Hapana
Ni lazima ntataka kitu toka kwako

Ukiona manzi yako inachezamchezo na haina kipato cha kueleweka
Fuatilia..

All the best mnyama(kwa heshima ya taifa)
 
Hi guys…

VIKOBA NI NINI? ni mfumo wa kuweka na kukopa kwa wanachama waliojiunga kwa pamoja na kuunda kikundi kwa malengo ya kujikwamua kiuchumi.
Ni na ni sahihi ya kua vikundi hivi vimekua na matokeo chanya kijamii, na familia kiujumla
Ila kwa bahati mbaya kwa mkosaji wa kipato kwa muhusika imewapelekea akina dada wengi kujiingiza kwenye biashara ya kuuza mwili bila wao kupenda
Mtu anajiingiza huko ,unakuta anatumia hata majina matatu mpaka ma nne… ikiwa kipato chako sio rafiki unategemea nini?
sio mala moja kupokea ujumbe mfupi kwenye simu yangu “nahman nnaomba elfu kumi sina hela ya mchezo”
Unajiuliza kwanini unaingia kwenye mchezo wakati hauna namna thabiti ya kupata hela?
Mbaya zaidi wakiwa kwenye wakati hu mgumu hua wako radhi kufanya chochoe apate hiyo hela

Ikumbukwe ya kua fedha ya mwanaume haitumiki bule bila ya kua na manufaa kwa mtoaji kwa namna yoyote ile!
Nikupe elfu kumi ikiwa sipati chochote kutoka kwako ni sawa? Hapana

Kabla ya kukopa Tafuta Elimu ya PESA na ufikirie sababu zipi zinakufanya ukope.

Wanawake asilimia kubwa hasa wabongo hukopa PESA ili wajipatie nguo, viatu n.k ili kutimiza mahitaji yao na sio biashara na vyama vyao uchwara.
 
VICOBA = Village Community Bank
Wakati mwingine kabla hujaandika uzi jitahidi ujue maana ya kitu badala ya kukimbilia kuandika. Unachoongelea wewe ni hivyo vikundi visivyo rasmi huko mitaani vinavyocheza upatu. Jina VICOBA limekuwa maarufu na kuunganishwa na upatu kwa sababu uendeshaji wake kwa kiasi fulani unafanania upatu. Kuhusu kina dada kufanya umalaya ili wapate hela za upatu ni kweli kwa baadhi yao kwasababu ya kutokuwa na elimu ya fedha. Wengi wao wanacheza hiyo michezo bila kujua malengo yao. Kama wananchi wakipata elimu sahihi ya fedha basi wengi wataweza kuzitumia fedha zao vizuri kwa dhumuni la kuwaletea maendeleo na sio kutunza tu pesa bila mwelekeo na matokeo yake ni kuishia kuzitumbua au kununua liabilities.
 
Uko sahihi mkuu
 
Huwezi kua shabiki wa upande uliopo ukawa na akili timamu
Umeelewa nlichoandika? Au kichwa chako ni kifunikio cha shingo
 
Back
Top Bottom