Nimewaona wabunge kadhaa wa opposition wakilitaka bunge kutimiza wajibu wake wa kuisimamia serikali. Sasa wabunge hawa wasioruhusiwa hata kuona mikataba inayoingiwa na serikali wanayopaswa kuisimamia sijui wataisimamia vipi!Ili la serikali kufanya siri mikataba ya taifa ni tatizo bunge linatakiwa kujua mikataba yote ya serikali. Bunge ndiyo chombo kinachotuwakilisha sisi wananchi.