Maswali na Majibu Bungeni 14 Juni 2011

Nilimsikia mama makinda akimsifu MBowe kwa kuwa ametumia kanunu za bunge kuhoji au kuomba mwongozo.. mbowe alingojea mpaka wasemaji wote wamalize. Lkn nimeshindwa kufahamu kumounya yule mmoja wabunge wa ccm alipoingilia kati Mh Mbililinyi kuhus mh Makinda akichekelea?kwanini asingoja Mh mbilinyi kumaliza na yeye kuingilia kati?Kwanini Mh makinda hakumuunya yule mwanaccm mwenzangu?wataalam wabunge naomba ufafanuniz
Duh, siamini!Naona gamba linaanza kuvuka taratibu!!!
 
Back
Top Bottom