Maswali na Majibu Bungeni 14 Juni 2011

MR 11. Alikuwa atumia muda mwingi kumsifu dk slaa badala ya kujenga hoja ya umasikini wa mtanzania.mpaka Mh Makinda akiingilia kati.
jee uchaguzi si umeisha

Kamrushe kwenye kiredio chenu cha burudani na umbea zaidi
 
ni kweli MS hapo ndio utashangaa double standard za mama spika
 
Leo wakati Mh. Sugu akichangia mjadala wa mipango, badala ya kujadili mpango akaanza kusema mambo ya uchaguzi, sijui maandamano nk ambapo Spika Makinda alimshauri kama akitumia muda wake vizuri kwa kuchangia hotuba ya mipango badala yakuongea porojo zake. Hata, hivyo Sugu hakuchangia chochote na alikuwa offpoint kabisa. Hivi nyie wana MAGWANDA kama wabunge wenyewe ni hawa kwa kweli wananchi wameliwa , Sugu hana kitu kichwani aliye msikiliza atathibitisha hili. Wana Mbeya mjini hawana mwakilishi bungeni aisee
 
Sugu kaongea vizuri sana na ametoa Hoja zenye Mshiko ukweli nikwamba Sugu yupo juu binafsi nimestajabu uelewa wa huyu Jamaa juu ya mambo mbalimbali yahusianayo na Uchumi huko Duniani akiyalinki na Tanzania yetu:Ameongelea Marekani Sanaa na Utamaduni inachangia Uchumi wa Usa kwa asilimia 24 akahoji juu ya vijana wa Tz kutelekezwa kutokana na Sanaa kupotezewa akihoji nini kinafanywa na híi Wizara ya Utamaduni na Michezo.Mtoa Mada analengo lakupotosha.
 
Jibu: KADCO inamilikiwa na serikali kwa asilimia 100 kwa sasa, ila kabla ya hapo KADCO ilikuwa inamilikiwa na wawekezaji kwa ubia kwa hiyo fedha hizo ni kutoaka serikalini na si kama inavyoonekana katika mchanganuo wa malipo mawili tofautiSwali la Nyongeza Ole sendeka: Serikali inachukua hatua gani kwa watumishi waliongia mkataba huo usiokuwa na tija kwa Taifa na kuliingizia Taifa hasaraJibu:
kweli nimeamini mikataba mingi inabainishwa na kuainishwa kinyemela,rejea swali la msingi la mbowe na jibu la waziri,swali la nyongeza ka MH.Mbowe najibu la waziri husika la kujikaanga.
 
Malaria Sugu wewe ni muongo sana mbona wabunge wa CCM walikuwa wakimsifia Jk. Nimeshuhudia Kikao cha Bunge kilichoisha muda siyo mrefu SUGU ameongea vizuri sana japo kuwa muda ulikwisha na ameomba kuendelea siku nyingine. Amewatetea pia hata watu wa Kyela kuhusu tabu ya kilimo cha COCOA.
 
Leo wakati Mh. Sugu akichangia mjadala wa mipango, badala ya kujadili mpango akaanza kusema mambo ya uchaguzi, sijui maandamano nk ambapo Spika Makinda alimshauri kama akitumia muda wake vizuri kwa kuchangia hotuba ya mipango badala yakuongea porojo zake. Hata, hivyo Sugu hakuchangia chochote na alikuwa offpoint kabisa. Hivi nyie wana MAGWANDA kama wabunge wenyewe ni hawa kwa kweli wananchi wameliwa , Sugu hana kitu kichwani aliye msikiliza atathibitisha hili. Wana Mbeya mjini hawana mwakilishi bungeni aisee

Masikio yako yana makengeza, au pengine ulikuwa ukisikiliza yale unayopenda kusikia tu!
Kaazi kwelikweli!
 
Asingeshinda kwa kishindo jimboni kwake mara mbili ya GAMBA,ANGUKO LA CCM LIMETIMIA
 
Anazua hili kwa wapinzani anaruhusu hilohilo kwa ccm...anaendeshwa na chama chake ama anachanganya akiri naye na kuwa mbayuwayu?anaharibu sana bunge!
 
Leo wakati Mh. Sugu akichangia mjadala wa mipango, badala ya kujadili mpango akaanza kusema mambo ya uchaguzi, sijui maandamano nk ambapo Spika Makinda alimshauri kama akitumia muda wake vizuri kwa kuchangia hotuba ya mipango badala yakuongea porojo zake. Hata, hivyo Sugu hakuchangia chochote na alikuwa offpoint kabisa. Hivi nyie wana MAGWANDA kama wabunge wenyewe ni hawa kwa kweli wananchi wameliwa , Sugu hana kitu kichwani aliye msikiliza atathibitisha hili. Wana Mbeya mjini hawana mwakilishi bungeni aisee
Umeshakwenda kuchukua posho kijana wa NAPE kwenye ofisi za CCM,FIKRA MGANDO KWA WATU WA CCM
 
Hawa vijana wenzetu waliopata bahati yakuingia Bungeni lazima wafahamu tunawafuatilia na waache kutafuta Sifa na Umaarufu Wakijinga:Hapa nataka nimuongelee Khamis Kigwangala ambae hapa kuna thread yake inayoongelea ukihiyo wake wa jina.

Huyu anatoka ccm na kama Dk.angetakiwa kujua sasa iv kinacho igharimu ccm nikukataliwa na vijana so angejihoji kwanza impact ya anachokiongea na Maslahi yake kwa vijana.

Sugu alikuwa anaongelea Sanaa na Utamaduni inacontribute asilimia 24 ya Uchumi wa Marekani na vijana wengi ndo wamejikita hapa, akahoji nakutuhumu juu ya kushindwa kwa híi Wizara hapa Tz jambo lililosababisha vijana kukosa AJIRA(Hapa Sugu anatetea vijana),huyu Kihiyo (ambae ni Kijana) anaetumia jina la Mtu anamu-interrupt Sugu na Litaarifa ambalo halina kichwa wala mkia.

Vijana lazima tuwanote watu kama hawa ambao hawapiganii Maslahi yetu and one day they must pay the cost.
 
Hilo swala la luwa na (Sup) sina uhakika kama Mh. Naibu Waziri analifahamu vizuri au anaamua kupotosha kwa makusudi. Kuna watu ninao wafahamu kwa majina na vituo vyao vya kazi walivyopangiwa wakiwa na sup na hwajazi-clear, na baadhi wakiwa wamebeba kozi (carry over).

Sasa kila mara waziri akiulizwa juu ya wale ambao hawajaajiriwa anakuja na majibu ya watu wenye (sup) je na hao wenye sup walioajiriwa ilikuaje??? Kwanini mawaziri wetu wanakua si watu wa kufuatilia mambo kwa kina then waje na majibu yanayo ridhisha?
 
Ngeleja: Vijiji vinavyopitiwa na nyaya za umeme wakati wao hawana umemeWizara imeigiza TANESCO kupitia wakala wa Nishati vijijini kureview mpango huo na kupata transforma zitakazowezesha kusambaa umeme katika vijiji ambavyo nyaya za gidi ya Taifa zinapitaSwali la nyongeza
Kwa jinsi huyu jamaa nlivyo simuamini hata akiniambia siku inayofuata baada ya leo ni kesho sintomuamini kabisa
 
Back
Top Bottom