ooh! sorry, unajua hao dada zetu wanafanya ngono ili wapate kipato! unaonaje kama tutapitisha sheria ili kuhalalisha biashara ngono?Wanasubiri tu walipwe posho zao wakanywe na kutuharibia dada zetu hapo dodoma
Swali: Freeman Mbowe anaulizia kuhusu uendeshwaji wa Uwanja wa KIA na Wananchi wa Hai wanafaidikaje na uwepo wa uwanja huo katika wilaya ya HAI?Naibu WAZIRI anajibu kuwa uwanja umekuwa ukiendeshwa na kampuni binafsi ambayo inapaswa kuboresha miundo mbinu na huduma muhimu ili kukuza huduma za usafiri ambao utaongeza tija katika utalii na kilimo cha mbogamboga na matundaKADCO wameshatumia bilioni 8 kukarabati runway na mitambo minginewabanwe hao coz wanaiba mno!
haa haaa! huo ni ujinga kwani chanzo cha mahusiano ya KIA na KADCO ni mkataba walioingia inakuwaje unaangalia matokeo bila kutazama mkataba unasamaje? naona dalili ya ufisadi hapo,,,keep on cdm!Duh Waziri kapunch ati suala si kuangalia mkataba uliingizwaje bali ni kuangalia pailopkosewa kurekebisha na kuchapa mwendoHayaaaaaWizara ya Maji
haa haaa! huo ni ujinga kwani chanzo cha mahusiano ya KIA na KADCO ni mkataba walioingia inakuwaje unaangalia matokeo bila kutazama mkataba unasamaje? naona dalili ya ufisadi hapo,,,keep on cdm!
huo mwendo wa funika kombe mwanaharamu......Wakichunguza mkataba utakuja kubak mdomo waz mkuu! Ni mwendo wa kuweka plasta kwenye kuta zenye nyufa.haa haaa! huo ni ujinga kwani chanzo cha mahusiano ya KIA na KADCO ni mkataba walioingia inakuwaje unaangalia matokeo bila kutazama mkataba unasamaje? naona dalili ya ufisadi hapo,,,keep on cdm!
Jamani sirikali mtuhurumie japo kdgo mbona ufsd kila mahali!Jibu: KADCO inamilikiwa na serikali kwa asilimia 100 kwa sasa, ila kabla ya hapo KADCO ilikuwa inamilikiwa na wawekezaji kwa ubia kwa hiyo fedha hizo ni kutoaka serikalini na si kama inavyoonekana katika mchanganuo wa malipo mawili tofautiSwali la Nyongeza Ole sendeka: Serikali inachukua hatua gani kwa watumishi waliongia mkataba huo usiokuwa na tija kwa Taifa na kuliingizia Taifa hasaraJibu:
huo mwendo wa funika kombe mwanaharamu......Wakichunguza mkataba utakuja kubak mdomo waz mkuu! Ni mwendo wa kuweka plasta kwenye kuta zenye nyufa.
haswa ila janja hiyo itakoma siku moja,suala la mikataba mibovu hututesa sana watz kwa sababu ya few pple,anyways we thank GOD kuna wabunge wanatutea.Kazi ipo kwa kweli haya majibu mepesi sijui yatakoma lini wanajibu kama wapo katika kikao cha Familia, baba anajibu watoto aisee, japo wakati mwingine baba anaweza hata kumwaga data za ukata katika familia ili watoto waelewe hawa jamaa wapi
hizo pesa wanataka magunia mangapi maana kuna billions kbao zinaliwa na mafsd? huko nyumba hii bomba hii, ndio kwa umaskini usipime,pple wamechoka hadi huruma!Suala la Maji bado tete mpaka huko peramiho kwa mahagama aliyetoka kuuliza swali ambalo pia linamkuna Spika ambaye anakiri kuwa hata jimbo kwake mambo magumu mnoJibu: Tatizo ni mpango wa Fedha na mambo yote yanatazamwa na kushughulikiwa kwa vipaumbeleSwali la Sakaya sasa