Spika Tulia Ackson azuia Mjadala wa Sakata la Bandari Bungeni, asema Bunge lilishatoa maamuzi

Rare Sapphire

JF-Expert Member
Jul 24, 2021
576
1,625
Spika wa Bunge, Dk Tulia Ackson amezuia mjadala wa sakata la bandari kuzungumzwa bungeni lakini akaruhusu kuwa litakapokuja kwa utaratibu mwingine wa kibunge itakuwa ruksa.

Spika Dk Tulia ametoa kauli hiyo leo Jumanne Agosti 29,2023 muda mfupi baada ya kipindi cha maswali na majibu ya wabunge ambapo amesema kuwa bunge lilishamaliza mjadala huo hivyo wabunge wanatakiwa kuendelea kuwasikiliza wananchi.

Anaposema bunge linatakiwa kuendelea kuwasikiliza wananchi, halafu akasema tena bunge limeshamaliza mjadala kuhusu bandari, anaamanisha bunge la sasa sio mwakilishi wa wananchi, kwasababu bunge haliwezi kuzuia kujadili kile ambacho wananchi wanataka, kwa kifupi ni kwamba, hili bunge la Spika Tulia sio mwakilishi wa wananchi.
 
Spika wa Bunge, Dk Tulia Ackson amezuia mjadala wa sakata la bandari kuzungumzwa bungeni lakini akaruhusu kuwa litakapokuja kwa utaratibu mwingine wa kibunge itakuwa ruksa.

Spika Dk Tulia ametoa kauli hiyo leo Jumanne Agosti 29,2023 muda mfupi baada ya kipindi cha maswali na majibu ya wabunge ambapo amesema kuwa bunge lilishamaliza mjadala huo hivyo wabunge wanatakiwa kuendelea kuwasikiliza wananchi.

Waliigawa nchi kama sadaka kwa wageni wakiwa wamekalia masofa mazuri, full viyoyozi, posho nzuri, nyumba nzuri, mishahara mizuri, kiinua mgongo cha uhakika, usafiri mzuri, kinga za kibunge lakini bafo wakawapa wageni nchi yote. Ama 'kweli shibe Mwanamalevya'.
 
Spika wa Bunge, Dk Tulia Ackson amezuia mjadala wa sakata la bandari kuzungumzwa bungeni lakini akaruhusu kuwa litakapokuja kwa utaratibu mwingine wa kibunge itakuwa ruksa.

Spika Dk Tulia ametoa kauli hiyo leo Jumanne Agosti 29,2023 muda mfupi baada ya kipindi cha maswali na majibu ya wabunge ambapo amesema kuwa bunge lilishamaliza mjadala huo hivyo wabunge wanatakiwa kuendelea kuwasikiliza wananchi.

Kule Ujerumani kuna kiongozi wa chama cha kishenzi ... AfD ... juzi kapakwa kinyesi cha mbwa akiwa mtaani kusaka umaarufu wa chama chake. kisa: Siasa zilizosheheni USHENZI. Kwetu huku nako ...
 
Spika wa Bunge, Dk Tulia Ackson amezuia mjadala wa sakata la bandari kuzungumzwa bungeni lakini akaruhusu kuwa litakapokuja kwa utaratibu mwingine wa kibunge itakuwa ruksa.

Spika Dk Tulia ametoa kauli hiyo leo Jumanne Agosti 29,2023 muda mfupi baada ya kipindi cha maswali na majibu ya wabunge ambapo amesema kuwa bunge lilishamaliza mjadala huo hivyo wabunge wanatakiwa kuendelea kuwasikiliza wananchi.

Rushwa inapotosha, speaker hajui anasema nini kwa sababu kichwani kuna mgao aliokatiwa
 
Spika wa Bunge, Dk Tulia Ackson amezuia mjadala wa sakata la bandari kuzungumzwa bungeni lakini akaruhusu kuwa litakapokuja kwa utaratibu mwingine wa kibunge itakuwa ruksa.

Spika Dk Tulia ametoa kauli hiyo leo Jumanne Agosti 29,2023 muda mfupi baada ya kipindi cha maswali na majibu ya wabunge ambapo amesema kuwa bunge lilishamaliza mjadala huo hivyo wabunge wanatakiwa kuendelea kuwasikiliza wananchi.

Keshajua shida ipo ila amebaki kulindwa tu na yeye anogopa kuitwa msaliti na kutumbuliwa.
 
Spika wa Bunge, Dk Tulia Ackson amezuia mjadala wa sakata la bandari kuzungumzwa bungeni lakini akaruhusu kuwa litakapokuja kwa utaratibu mwingine wa kibunge itakuwa ruksa.

Spika Dk Tulia ametoa kauli hiyo leo Jumanne Agosti 29,2023 muda mfupi baada ya kipindi cha maswali na majibu ya wabunge ambapo amesema kuwa bunge lilishamaliza mjadala huo hivyo wabunge wanatakiwa kuendelea kuwasikiliza wananchi.

Bibi Tena Buuwana
 
Na KWELI BUNGE LILITOA MAAMUZI YAKE NA SIO YA WANANCHI WALIOWACHAGUA NDIO MAANA WANANCHI TUNAPINGA SAKATA LA BANDARI
 
Back
Top Bottom