Maswali kwa rais Kikwete na yatokanayo

Amesema wabunge wa CCM wajue wanawajibika kwa chama chao, wahakikishe kwamba serikali yao hairibikiwi kwa mijadala yao.
 
Let's give credit where it's due, Tido is asking tough questions
 
wakuu sielewi mh jk anaongea au ndio anajibu, na simu wamesitisha kupokea, hakuna tena maswali
 
Ufisadi umeingia TBC eti simu zimekata na sms sijui????????????? Bongo land moto huoooo
 
hamna maswali kwa simu tena box imejam

Nimejaribu line mara kama 50 hivi mpaka nika-give up!

Email yangu najua haiwezi kusomwa, lakini swali la papo hapo angelijibu labda.

Naona anaulizwa kuhusiana na ucheleweshwaji wa kesi za EPA. Anakiri ni tatizo la kweli
 
Back
Top Bottom