Maswali kwa rais Kikwete na yatokanayo

JK anasema mapapa wa ufisadi kuwapata ni ngumu kwasababu wana maarifa makubwa ya kujificha.
 
hapo wakuu hakuna majibu, swali moja dk 10 si atajibu maswali 7 tu, sijui kama nitafanikiwa kumuuliza swali langu
 
Anasema CCM haikumbatii mafisadi.

Anasema CCM ina agenda moja ya kudumu. Agenda ya hali ya siasa nchini.

Anasema wanaangalia wapinzani wamefanya nini na CCM inaathirika vipi na wafanyavyo na wayashughulikie vipi.

Anasema NEC iliyopita matukio ya baraza la wawakilishi na yalotokea bungeni yalijitokeza kujadiliwa.
 
Hee! kuhusu ufisadi kazi yake ya sasa ni kuimalisha taasisi na mtandao wa kupambana na rushwa. na tuna kesi 500 mpaka sasa. mafisadi hawakamatiki kwani ni wanjanja na kazi imefanyika kwani vigogo 27 wako mahakamani na kuna kesi mbili kubwa zinakuja.

One hour left

Agenda ya kudumu ya ccm katika vikao vyake vya cc na halimashauri kuu ni khali ya siasa ya nchi
 
Muulize kuwa kwanini kuna matatizo katika utoaji wa mikopo wa elimu ya juu maana kuna watu wengi sana watakosa mikopo na yeye alisema kuwa hakuna mtu hata mmoja pale Diamon Jubilee
 
Mh, anakiri kuligundulika uhusiano usioridhisha kati ya wabunge wa CCM na serikali yao pamoja na wabunge wenyewe wa CCM kuchukiana ile mbaya!
 
They still rely on Mkapa and Mwinyi for advice , please give me a break !
 
Back
Top Bottom