Maswali kwa rais Kikwete na yatokanayo

anavyoyajua matatizo ya walimu nampa A. Utekelezaji masatu atajibu
 
JK namna anavyojibu maswali ni kama anaongea na 'mshkaji' wake tuuuu.... Not serious at all, ajue haya maswali anayoulizwa ni KERO kwa watu na wanahitaji majibu ya kina na mtu awe serious

Ndo maana nikasema hayuko deep kabisa na majibu yake. Utadhani ni NN na Yo Yo wanapiga stori bana...Lol....yaani huyu jamaa zero kabisa!!!
 
swala la nyraka kajibu kama kasuku, hakujibu swali anataka amani na viongozi wa dini si kutatua tatizo lilopelekea hizo nyaraka.
 
Kwa majibu yake basi walimu wa shule za msingi wamelipwa isipokuwa walimu wa shule za upili (secondary schools) ndo bado wanafanyiwa kazi
 
Mh raisi anapiga porojo kishikaji...jibu maswali ! simu hazipatikani...!
 
hapo wakuu hakuna majibu, swali moja dk 10 si atajibu maswali 7 tu, sijui kama nitafanikiwa kumuuliza swali langu
 
Ndo maana nikasema hayuko deep kabisa na majibu yake. Utadhani ni NN na Yo Yo wanapiga stori bana...Lol....yaani huyu jamaa zero kabisa!!!
Anasema walimu "watarajie mambo hayatakuwa mabaya sana" hii inamaanisha yatakuwa mabaya lakini si sana...

Hahahaha, JK bana!
 
Yaani rais anataka mwalimu ambaye hajalipwa kwa miezi nane amtumie sms, sasa si atakuwa anajibu msms tu
 
Mwananchi toka Ukerewe anamwambia Serikali haijachukua hatua dhidi ya wanaotuhumiwa na ufisadi. JK anasema angeshangaa asingeulizwa swali la namna hiyo.
 
Mbona ya waalimu inachukua muda sana ? Kwa nini ? Na siamini kama kweli naye hajui waraka wa wakatoliki unasemaje . Hakika iko kazi kubwa mno .Hata JK haujui waraka una maana gani .
 
tido amemwambia apunguze majibu mareefu kama treni, nalo anaonekana hataki
 
kaulizwa na tido kuwa simu ni nyingi ila inabidi apunguze....jk akamwambia tido nipunguze nini sasa....tido akamwambia apunguze kujibu kwa urefu maswali
 
Mi nilitaka kumwuliza juu ya majina ya wanaouza unga na alishakiri amepewa majina hayo ameyafanyia nini?
 
Back
Top Bottom