Resilience
JF-Expert Member
- Jan 4, 2023
- 914
- 4,264
Katuni ya leo Kipanya inaonyesha namna basi lililobeba imani ya MSALABA LILIVYOZAMA KWENYE KORONGO. Hakuna majerua wala waokoaji katika eneo husika means wote waombolezaji na wafiwa wameangamia.
Katuni hii inatoka siku moja baada ya waumini wa KKKT kupigwa na kitu kizito kutoka kwa mkuu wa kanisa hilo wakati akisimikwa kazini
Je, imani ya Msalaba imeelekea kumwacha Mungu na kumwendea mwanadamu? Je, baadhi ya viongozi wake wanaamini Mungu yupo au wanaamini kwenye madaraka na mali?
Tutafakari