Maskini Sophia wangu... Sasa najutia!

Mwanaume wa namna hiyo mimi namwona MPUMBAV tu!...unashndwa kusimamia ukweli kwa sababu ndugu watakutenga?...then ukikutana na uliyemkana akiwa na maisha mazuri roho inakuuma, ulitaka aharibikiwe baada ya wewe kumtosa? Hizi hadithi za shigongo wahusika wote huwa wameishia darasa la nne kama yeye!
 
Ila miaka iliyotajwa bro... Kumbuka we mwenyewe..

Ilikuwa ni kituko kwenye familia au ukoo wenu,kumleta mchumba wa kabila tofauti..kumbuka....

Unaonekana na ndugu zako kama punguani vile.. Au kama uliyerogwa! Kumbuka..
 
watutsi wengi ni warefu sana, mie urefu wangu ni 165 Cm tu, pua zao zimechongoka, yangu ni ya kibantu, wengi wao ni weusi sana, mie maji ya kunde kiasi, baadhi waliohamia usukumani wako geita na sengerema na huko sio kwetu... proved

Haya bana...baadaye..
 
Nikianza kutunga zangu, ntafanya hivyo.
Lakini nikielezea kitu kilichotokea, ntasema kama kilivyo.

Nimegundua umri wa wachangiaji wengi bado ni vijana sana.
Hawajaona experience ya maisha.

Usiombe kujifunza maisha the hard way!

Konnie.. Mi na wewe tunafahamiana..

Nachosema,ukizipata nazo uziweke.. Kama hii mwanaume ndiye aliyekosa msimamo,matokeo yake ndiyo hayo.. Sasa ukipata za yule the other party,nazo tuwekee...

Usinielewe vibaya Konnie.. Ila ni kwa sababu mi mwenyewe....mmh.. Kwa sasa mwanamke basi! Sina haja naye kabisa...

Nimepata kuoa 2005,lakini kwa sasa siko naye yule mamaa..

Basi tu..!
 
pole Trachy,

haya mambo hutokea, lakini nilichojifunza maisha lazima yaendelee.

Ntakuwekea na kisa kingine, acha vijana watukane lakini ndo wanajifunza hapa hapa!

Konnie.. Mi na wewe tunafahamiana..

Nachosema,ukizipata nazo uziweke.. Kama hii mwanaume ndiye aliyekosa msimamo,matokeo yake ndiyo hayo.. Sasa ukipata za yule the other party,nazo tuwekee...

Usinielewe vibaya Konnie.. Ila ni kwa sababu mi mwenyewe....mmh.. Kwa sasa mwanamke basi! Sina haja naye kabisa...

Nimepata kuoa 2005,lakini kwa sasa siko naye yule mamaa..

Basi tu..!
 
asante, kwa reaction hii inaonekana ujumbe umekufikia ipasavyo.

Then, my story was worth sharing.

Ubarikiwe!
Mwanaume wa namna hiyo mimi namwona MPUMBAV tu!...unashndwa kusimamia ukweli kwa sababu ndugu watakutenga?...then ukikutana na uliyemkana akiwa na maisha mazuri roho inakuuma, ulitaka aharibikiwe baada ya wewe kumtosa? Hizi hadithi za shigongo wahusika wote huwa wameishia darasa la nne kama yeye!
 
Kuna mambo Sir God kaweka kua uchemke, utambue umechemka na urekebishe kosa lako. Ndoa is not one of them. Ukiwa na kimeo ni kimeo moja kwa moja and there is no turning back!
 
Neiwa, there is nothing we cannot change. Hata ndoa, unaruhusiwa kurekebisha. Ukiona ulikosea chaguo jaribu as much as you can, but when it becomes obvious that you cannot change the situation, then get out of that situation.
 
Briefly put ina maana Divorce is right? Rite? Because believe me you if it was that simple divorcing the rate they are claiming is high now will multiply infinitely!
 
Kwangu mimi divorcing is right. Najua kwa wakristu wengi it is not, ila there has to be some well framed exit option in case things don't work well. Huwezi kujilazimisha kuhishi in hell just because one day you swore to live forever with a guy, and later it turned out that you were not fully informed about how things could become between you two. Ikiwa unaona kama the lofe you envisaged is not the life you are having, and that there is more chance to live that life without him than with him, chukua hatua. Divorce ni sawa kabisa.
 
@RR, divorse kwa sasa kidogo inaanza kukubalika kwenye baadhi ya jamii za kitanzania.

Nakumbuka, kuna mama mmoja alimdivorse mmewe baada ya ndoa ya miaka 20 alionekana ana tabia mbaya haijawahi tokea.
Walimsema kila aina ya neno. Tena alichofanya ni kuondoka na kumwachia mmewe kila kitu akaenda kuanza maisha upya kabisa.

Bado kuna stigima fulani hivi ya kudivorse hata kama ndoa haina amani tena.
 
I Love this post.
 
Hii ni moja ya vikwazo kwa wanawake wengi kuogopa kuachia ngazi. Badala yake anaishi maisha yake yote kwa ajili ya limtu halina hata habari juu yake. Ndio mana wanawake wengi wakifiwa na waume wananawiri na wengine kunenepa for life inakua ime change for the better.
 
True love never die.
Amka jikusanye, you cant have her anymore, she belong to another. Create her image in your wife, if you can not forget her. Songa mbele kaka.

Great lesson to many of us.
 
hii ni hadithi au ni kitu gani,kama ni kweli basi hukua na mamuzi sahihi kwasababu anae ishia na mke ni ww sio ndugu zako na kamwe ndugu hawasaidii kwenye maisha.:scared::scared::lock1:
 
@RR, divorse kwa sasa kidogo inaanza kukubalika kwenye baadhi ya jamii za kitanzania.

Nakumbuka, kuna mama mmoja alimdivorse mmewe baada ya ndoa ya miaka 20 alionekana ana tabia mbaya haijawahi tokea.
Walimsema kila aina ya neno. Tena alichofanya ni kuondoka na kumwachia mmewe kila kitu akaenda kuanza maisha upya kabisa.

Bado kuna stigima fulani hivi ya kudivorse hata kama ndoa haina amani tena.
Kong, huwezi kuhishi sababu ya watu. Kweli inauma pale wanapo kuita kila jina, but remeber, it is those same people who laugh at you when they see you unhappy. and it will be those same people who will laugh with you when you will sort your life and be happy again. the most impostant person to please is you.
Kwa habari ulitoa hapo juu ningekushahuri uendelee na maisha tu. Hata huyo dada, huwezi jua angekuaje ungemuoa. Don't idealize her. Umesha wahi ona mtoto asie mjua baba yake anavo fikiria kua angelelewa na baba maisha yake yangekua tofauti kabisa? later anapo muona baba yake anagundua kua he is just human? na wewe ni hivo. nobody is perfect, huyo mwanamke ulie mpenda nae sio perfect. move on with the one you have, vikishindikana chukua hatua, it is never too late.
 
@RR, ni kweli kabisa. Bora hii option ya kujaribu kumpenda huyu aliyepo.

Inawezekana kuanzia mwanzo wa ndoa kulikuwa na kivuli cha Sophia kichosababisha kushindwa kujali hii ndoa.

Divorse dah, bado hata mimi nina stigma na hii kitu, it will be the last option. Hata sijui kwa nini
 
Imagine mke wako aliishi siku zote hizi akujua yeye ni second option, na akijua kua ulimuoa kwa kulazimishwa na familia. Isitoshe, ukawa mlevi wa kupindukia wakati yeye alikua tayari kua na wewe. sasa yalipomshindamaybe that is when she decided to sink it in alcohol. msaidie na muoneshe upendo, I am sure all will be fine. I am glad that you do not consider divorce. Pamoja na kua it is an option, divorce ni alama ya ksuhindwa fulani.
 
ni kweli, ngoja nianzie hapa kwanza.

Like Like Like.

Imagine mke wako aliishi siku zote hizi akujua yeye ni second option, na akijua kua ulimuoa kwa kulazimishwa na familia. Isitoshe, ukawa mlevi wa kupindukia wakati yeye alikua tayari kua na wewe. sasa yalipomshindamaybe that is when she decided to sink it in alcohol. msaidie na muoneshe upendo, I am sure all will be fine. I am glad that you do not consider divorce. Pamoja na kua it is an option, divorce ni alama ya ksuhindwa fulani.
 
kwa kweli kongosho umepatia connection sana. kabila-ukoo kutoruhusu kuoa kabika jingine na miaka 1976. kwa kizazi cha kuanzia kwa mzee Ruksa mpaka JK huwezikukatazwa kuoa/kuolewa sababu ya ukoo au kabila. UTACHEMSHA. komaa na mama wa4 wako
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom