Maskini Sophia wangu... Sasa najutia!

Ilikuwa ngumu sana miaka hiyo. afadhali saa hivi mambo yaanza kubadilika.

kwa kweli kongosho umepatia connection sana. kabila-ukoo kutoruhusu kuoa kabika jingine na miaka 1976. kwa kizazi cha kuanzia kwa mzee Ruksa mpaka JK huwezikukatazwa kuoa/kuolewa sababu ya ukoo au kabila. UTACHEMSHA. komaa na mama wa4 wako
 
Mkuu, nakupa pole sana jamani, yaani kama ni kisa cha ukweli kinagusa sana.
Kweli jamani haya mambo ya kusikiliza ukoo unasemaje wakati mtakaoishi ni ninyi wawili yanaboa sana, ukizingatia wakati wa matatizo woooooooote wanasepa!!!!!!!!!! yaani hawana msaada sana sana wanakurushia lawama tuu, na miaka hiyo ya 70's mhhh!!!
 
Nilikuwa sina mpango wa kuja jf leo
hii thread imeniacha hoi
i love u saaaaana dah dah dah
 

Similar Discussions

29 Reactions
Reply
Back
Top Bottom