Mamaya
JF-Expert Member
- Jul 4, 2011
- 4,796
- 3,728
Kongosho kumbe ni mtu mzima kama mimi.
Kwa kukisoma kisa chako na kutazama umri ulioanza kupata watoto, ni dhahiri kabisa kuwa watoto kwa sasa ni watu wazima, nakushauri usichukulie hasira, kaa kimya ukiangalia movie inavyokwenda na huku unatumia mbinu nyepesi na "effective".
Kuna kitu kinaitwa midlife crisis, na mara nyingi huanza kati ya miaka 45 na 55, na hiki ndicho kinachotokea. Ni dhahiri pia kuwa hata mkeo si mdogo tena na ilipaswa ajitulize, si lazima awe na shughuli za ubaba na umama, bali inawezekana kuwa ana-u-miss ubaba na umama na hana majukumu ya kujituliza nyumbani. Ni vyema ukatumia mbinu ya kuwachukuwa wajukuu na kuishi nao, hiyo itampunguzia sana spidi bibie na itamrudisha kwenye malezi ya vijukuu yatakayo mtuliza nyumbani akipenda asipende.
Niamini, nipo kwenye umri wako, naelewa nnachokushauri.
ribosome asikuchanganye na story za long,ni dogo tu huyu wa enzi zile madent wanakalia bansern barner kwenye hiace kwenda tution mapambao, kwa dan mbuzi area na kwa yese na emmy ubungo social.