Mashariki ya Kati mfumo wa GPS haufanyi kazi

Iran now ana kiburi ni sababu ana nuclear tayari ndio maana haogopi tena. nje anasema anaomba aruhusiwe lakini ukweli ni kuwa analo tayari. ndio maana us yuko busy kuhakikisha jambo linaisha kwa amani. sema ndio hvy tena yai lishapasuka. now namuonea huruma zaidi ukraine maana waume zao watahama silaha wapeleke huko kwa Nyau..
Hilo la Iran kuwa na nuclear hata mie nafikiri analo maana sio kwa kiburi hicho cha kutishia kufunga straight of Hormuz.
 
Hasira za Iran ni kuuwawa kwa watu wake ubalozini kwa makusudi
Naona ndege za UK zimeruka toka Uturuki ku intercepted drones za Iran
Ila ngoja tuone maana houthi pia na Lebanese wametuma pia
Waisrael hawataki vita majority maana ni msukosuko kwao
Unajua kuna raia wengi wanaishi hotel wamekatazwa kurudi makwao na hawana uhuru huku serikali ikiwahudumia?
Mzee mimi inaniuma sana yaani!
Nina ndugu Iran na Yemen ujue. Naumia sana yaani.
 
Back
Top Bottom