Drones sio ballistic missilesIran amerusha drones na ballistic missiles kutokea Iraq na Yemen sidhani kama Israel anaweza kuzuia.
Yaani punda wawe wengi tuTunajiandaa kununua wese kwa 10,000 maana Iran atazuia Homuz isitumike
Netanyahu itakua anakenua tu huko maana alichokua anakitaka amekipataNdo keshatuma ngoja tusubirie impact maana lazima atatuma Cruise na Ballistic
Jordan, Saudi Arabia na nchi nyingi za Gulf state will shoot down all Iranians drones and missiles, only route ni Iran na SyriaBREAKING: Jordan says it is ready to shoot down any drones that violate its airspace
Hahahaha sukari si itauzwa kilo laki mojaYaani punda wawe wengi tu
Huwaga mnaichukuliaje IsraelIran amerusha drones na ballistic missiles kutokea Iraq na Yemen sidhani kama Israel anaweza kuzuia.
Jana Marekani ilisema Iran itarusha drone zaidi ya miaIran imerusha drone nyingine tena kwa wingi, wahuni wanaita double tap
Wajinga sanahawa chawa
Labda kwa assassination hapo sawaNetanyahu kichwa ngumu hawezi kubali apigwe asilipize. Iran lazima atapigwa tu
Kupoteza??? Fatilia moto wa IranIran anataka alipize kisasi, ili kuondoa collateral wameona wafunge anga.
Israel imefanya jamming ili kupoteza mabomu yanayotumwa kwa coordinates ie ballistic, drones etc
Ni hatari aiseeHahahaha sukari si itauzwa kilo laki moja
Ashavamia sasa.Ni kuweka pressure tu ila Iran hatajaribu
Russia yuko bize na UkraineWana uwezo wa kutuma hata 2000at a go ila sasa ataweza himili maana Israel yeye atampelekea ndege kabisa hadi mpakani.
Ngoja tuone kama Russia atazuia