kopites
JF-Expert Member
- Jan 28, 2015
- 8,437
- 10,115
Iran katafutwa mpk kapatikana anasubiriwa aingie mkenge amalizweHapa ndo naamini iran ni baba wa mashariki ya kati
Iran katafutwa mpk kapatikana anasubiriwa aingie mkenge amalizweHapa ndo naamini iran ni baba wa mashariki ya kati
Unaumia ukiwa wapi ?......mwarabu wa kirunguleKikao maalumu kinaendelea kati ya Bibi na mawaziri wengine. Kikao hicho kinafanyika kwenye handaki
Unajua umuhimu wa airspace kwenye vita?Kwani US atarusha ndege au atatumia tomahawks kutoka meli vita?
Hakuna nchi itayokubali makombola yatumike kupitia nchi yao maana Iran atarudisha lilipotokea
Ndio maana nasemaga hizi serikali zetu za Kiafrika ziwe angalao zinatengeza silaha za kujihami maana tutakuja kuvamiwa na Ayatolah tubaki tunamwangalia.Ukitaka pigana na mtu cha kwanza kuzima mfumo
Umeziona hizo ndege...?Hakuna atayepita hapo maana Israel tayari kapaisha ndege angani kusaidia track incoming missiles, drones etc.
Hapa ndo tutaona umuhimu wa FOF
The moment we have been waiting for.Masaa 8 khaaa.... Ngoja nilale
BREAKING:
The first Iranian drone swarm can be heard over Maysan, in south-eastern Iraq.
They will enter Israeli airspace in around 8 hours. It’s an attempt to overwhelm air defenses.
Missiles will be next
Upo sahihi mtu anakuchapa kwenye ubalozi wako nakuuwa General wako Muhim that is meaning anajuwa vile atamalizana na wewe Iran hii vita anaenda poteza na kufa kabisa kiuchumi nahuwo ndio mpango let us keep coolJamani acheni kudanganyana Iran utapoteza kila kitu, hakuna tofauti na enzi za Sadamu na mabomuyake ya scud baada ya Israel kushambulia nuclear plant on Iraq.
Hakuna vita hapo.The moment we have been waiting for.
Finally we see a war btn Israel and Iran in a modern era