IsangulaKG
JF-Expert Member
- Oct 14, 2010
- 706
- 386
R.I.P Kisiasa Masha!
guYS,
I THINK WE ARE TOTALLY LOST HERE
ANAEZA AKAWA AMEANGUKA KISIASA BUT HIS LIFE IS DOING WELL KWANI AMEREJEA KWENYE FANI YA SHERIA, NDIO MAANA SIKU ZOTE NI VYEMA TUWE NA ELIMU NA FALL-BACK POSITIONS
NAJARIBU KUFIKIRIA ANNE MAKINDA AU SOPHIA SIMBA WAKLIANGUKA WATAKUA NANI
IMMMA ADVOCATE WANAENDELEA VIZURI TU NA PESA YA KULA IPO
,,, siku moja pale Rose Garden akiwa na group yake aliyooita G7,, alitamka hawezi kusumbuliwa na wala samaki (watu wa Mwanza),,wakati huo akiwa minister,,,,
hakika anakula matapishi yake sasa,,
Guys,
lets be reasonable kidogo... if you dont have something serious to say tukae kimya!!!... mtu afulie, a-win, abaki vilevile ni mambo yake, kama ana influence yoyote directly basi deal nayo directly... JF has its quality and especially now we are heading toward a major country transition 2012-2017
The guy is still a lawyer, entrepreneur (bila kujali anafanya nini), financially sound, living his life.... if we could spend a few moment kuhangaikia tatizo za nchi badala ya Lau who is enjoying his life tungefika mbali kidogo... The guy lost uchaguzi, left politics and we can just wish him luck with his life and leave him alone, he has no active engagement in politics right now, at least to my knowledge
THOSE ARE MY FEW CENTS
Hoja yako ya kwanza haikua hiyo... :ballchain:personaly Marsha is my guy from the way he achieved a grate performance during his governmental services. The issue is knowing where he is and what he does since he stil having vital potentiol for our counry taking in mind he was the founder of national id's programme. Wacha tumjadili kwani anazo siri za nchi yetu hatuwezi kumwacha apotee kiivo tu.
pia ni mshauri wa kampuni ya ubia na agrisol, ile kampuni aliyoleta pinda na kuwagawia ekari 800,000 kwa shilingi 197 kwa kila eka kwa miaka 99.