Masha Lawrence yu wapi wadau?

Hakuna haja ya kujua alipo tunachoshukuru alibwagwa hovyo, hata hivyo lazima ajifiche mahali aibu ipungue pungue; kwa kweli mimi sijui alipo ila kwa hakika kwa majigambo aliyokuwa nayo lazima yupo na aibu sana kwa sasa.
 
Kuna siku nilimuona Dar International Airport nadhani alikuwa anaboard international flight maana ilikuwa mida ya usiku. Ingekuwa anaenda MZ asingekuwa airport usiku... Labda kachumpa Marekani si ana green card au raia?
 
halafu ukishajua alipo?

madini-cartoon.jpg
 
AIBU, AIBU, AIBU....... Baada ya kujisifia amepita bila kupingwa, .... atakuwa sehemu anauza vitasa vya ofisi ya mbunge alivyoondoka navyo.
 
Hivi hizo mbwiga zilizokuwa zinajiongelesha hapo kwenye wall ya masha ni raia za wapi? Eti 'utashinda kwa kishindo' labda ukuu wa mkoa. Nyamagana hatukuwa mazuzu hivyo ndio maana tulimchinjia masha baharini.
 
Yani wewe unategemea apite na loud speaker hupo uliko ili umsikie??

Nenda IMMMA ukamuulizie
 
Goodnyuzi for him
anasubiriwa mkulu kupewa ukuu wa mkoa wa dar
 
He is better zaidi alipo sasa... doing his professional work sio hayo mambo ya kubwabwaja majukwaani
 
Huyu bwana nilimuona Cape Ton majuzi kwenye maonesho ya mkutano wa masuala ya madini Africa....alikuwa ana-lobby wawekezaji wanataka kuja Tanzania kuitumia kampuni yake ya sheria ili kurahisisha shughuli zao. Hilo kwangu halikuwa tatizo kwani ni suala la biashara zake na kila mjasilimia analifanya.

Alichonikera ni kudanganya kwamba ameamua kuacha siasa kwani alikuwa anapoteza muda mwingi bila tija na kushindwa kufanya miradi yake. Jingine alikuwa anajitangaza kuwa " I have connections to the inner circle of government desicion making"......hapa ni uccm wake na urafiki wake na wakuru!!!!!!!
 
Back
Top Bottom