Masha Lawrence yu wapi wadau?

Nahisi yuko mamtoni au safari yake kisiasa imeshafika mwishö.Tulisubiri aukwae ukuu wa mkoa wa simiyu au geita lkn hakupata nafasi.Angalau ukuu wa wilaya basi lakini wola! Ubalozi basi,lkn wola.Angalau ajitokeze kwenye matukio makubwa kama mazishi ya S.K ili kuonyesha kwamba bado yupo na ikifika 2015 ajitokeze kuchukua jimbo lake la nyamagana.Au alipojeruhiwa na wenje aliumia na kuamua kuachana na siasa uchwara za magamba?
 
hii mbona imekaa kiudaku udaku hivi?
Hivi ni lazima ajishow kwenye magazeti na shughuli kama misiba ili aonekane?
 
Yupo tele Masha mjini hapa. Kama unashida nae nenda rose garden ndoo bar yake. Anadunda tu sidhani kama anataka vyeo kwa sasa yupo busy na biashara zake
 
ukipigwa mueleka na chadema subiri kifo tu,ndio watu watakukumbuka wakati wa kusomwa kwa historia yako.jizi tu lile lipolipo dar lina ngaa mimacho kwenye mabaa ,hana jipya matokeo ya kubebwa hayo,ukiwekwa chini kumbe hata kutambaa huwezi.UKIWEKWA NA MUNGU JUU,UTAKUA JUU....lakini ukiwekwa na mwanadamu JUU UTASHUKA CHINI.hilo halina mjadala kamwe,utagangamala weee alakini utaenda chini tu.ndio hayo ya masha
 
huyo amekufa na mpango wa vitambulisho kila siku alikua analia kwamba kuna vigogo wameingilia...na ndio uliomtoa kwenye siasa za bongo.
 
Nahisi yuko mamtoni au safari yake kisiasa imeshafika mwishö.Tulisubiri aukwae ukuu wa mkoa wa simiyu au geita lkn hakupata nafasi.Angalau ukuu wa wilaya basi lakini wola! Ubalozi basi,lkn wola.Angalau ajitokeze kwenye matukio makubwa kama mazishi ya S.K ili kuonyesha kwamba bado yupo na ikifika 2015 ajitokeze kuchukua jimbo lake la nyamagana.Au alipojeruhiwa na wenje aliumia na kuamua kuachana na siasa uchwara za magamba?

Lau huyu hapa

Last edited by a moderator:
Ni kweli ukiona kobe juu m2,kapandishwa.Magamba karibu wote makobe,peoples Pwr.
 
Eti anajiita msomi anadiliki mpaka kun'goa vitasa vya milango na mabenchi kisa kashindwa na mhe wenje kibaya zaidi mpaka asili ya kwao wamemkataa kweli rudi ukazoe taka siasa waachie wenyewe na hiyo ndo miccm rudi kundini utubu utasamehewa 2
 
Ama hakika nimeamini kweli usicheze na raia wa tz ukifeli wanakujambia usoni!
 
Nilimuona juzi na Ngeleja ktk harakati za kugawa milungula ya kura za maoni hapo Sengerema!
 
Ni kama Msanii Mr.Nice kwenye Bongo fleva.
Potezewa mbali kule.

Alafu rekebisha lugha hapo.
Sio mbunge aliyemaliza muda wake bali ni mgombea aliyetoswa na wananchi.

Mr nice kapiga show Geita juzi jumamosi tarehe moja maeneo ya Mwatukole kwa kiingikio cha buku 3.
Jamaa kachoka saana halafu hata afya ni tatizo! Sijui Mwalukanga!
 
Mr nice kapiga show Geita juzi jumamosi tarehe moja maeneo ya Mwatukole kwa kiingikio cha buku 3.
Jamaa kachoka saana halafu hata afya ni tatizo! Sijui Mwalukanga!

teyariiii alikula diana aston villa na alizaa naye unga.......dots
 
Back
Top Bottom