kizazi kipya
JF-Expert Member
- Jul 21, 2010
- 327
- 62
Ukumbi kulipuka cant justfy kwamba anakubalika......those ccm guys are like chidren...of whom crping end s does not mean wanakubaliana na hiyo kitu
Kizazi nenda wewe basi mjengoni tuone kama uashangiliwa na ukumbi kulipukaUkumbi kulipuka cant justfy kwamba anakubalika......those ccm guys are like chidren...of whom crping end s does not mean wanakubaliana na hiyo kitu

Ukumbi kulipuka cant justfy kwamba anakubalika......those ccm guys are like chidren...of whom crping end s does not mean wanakubaliana na hiyo kitu
Mh. Masha jana alikuwa mgeni mjengoni na mara baada ya kutambulishwa ukumbi mzima ulizizima kwa makofi na kushangilia kwa dakika zaidi ya 5. The guy bado anakubalika sana, mwenyewe nimekiri sasa
Tehetehe, napita!!Huu ukumbi kwa kulipuka, we acha tu
Chenge akikohoa ukumbi unalipuka
Lowassa akibweka ukumbi unalipuka
Kikwete akicheka ukumbi unalipuka
Pinda akilia ukumbi unalipuka
Sita akipiga chafya ukumbi unalipuka
Mwakyembe akiguna ukumbi unalipuka
Komba akikoroma ukumbi unalipuka
CCM ikichafua hewa ukumbi unalipuka
Ukumbi kulipuka ? Cha ajabu nini !

Huu ukumbi kwa kulipuka, we acha tu

Chenge akikohoa ukumbi unalipuka

Lowassa akibweka ukumbi unalipuka

Kikwete akicheka ukumbi unalipuka

Pinda akilia ukumbi unalipuka

Sita akipiga chafya ukumbi unalipuka

Mwakyembe akiguna ukumbi unalipuka

Komba akikoroma ukumbi unalipuka

CCM ikichafua hewa ukumbi unalipuka

Ukumbi kulipuka ? Cha ajabu nini !
wako watakaolia pia
Mh. Masha jana alikuwa mgeni mjengoni na mara baada ya kutambulishwa ukumbi mzima ulizizima kwa makofi na kushangilia kwa dakika zaidi ya 5. The guy bado anakubalika sana, mwenyewe nimekiri sasa
wacha matusi kwa waheshimiwa wabunge wewe!Wakilala kwa kula madawa ya akili na kulala na kujamba wanzao hulipuka!!! ajabu!!
Mh. Masha jana alikuwa mgeni mjengoni na mara baada ya kutambulishwa ukumbi mzima ulizizima kwa makofi na kushangilia kwa dakika zaidi ya 5. The guy bado anakubalika sana, mwenyewe nimekiri sasa
Mh. Masha jana alikuwa mgeni mjengoni na mara baada ya kutambulishwa ukumbi mzima ulizizima kwa makofi na kushangilia kwa dakika zaidi ya 5. The guy bado anakubalika sana, mwenyewe nimekiri sasa
Wampigie makofi na hata ikiwezekana wamsujudie kabisa,laknin sisi wana Nyamagana hatumuhitaji.kwetu Wenje ndio Mbuge,mengine ni porojo tu.Mh. Masha jana alikuwa mgeni mjengoni na mara baada ya kutambulishwa ukumbi mzima ulizizima kwa makofi na kushangilia kwa dakika zaidi ya 5. The guy bado anakubalika sana, mwenyewe nimekiri sasa
Kwa nini? Kwa sababu ya makofi aliyopigiwa? Be sensible gentleman/lady, if that's true, why was he not re-elected back to the house? Hypocricy is what prevails in the house, just to provoke the other side.
kwa jinsi wananchi wa Nyamagana walivyomchoka Wenje sasa,, nakuhakikishia uchaguzi ufanyike leo, Masha anampa za uso Wenje pale Nyamagana!!!
inawezekana anao uhusiano naye...huwezi kumfagilia mtu kama masha kwa karne hii...who is masha by the way.... he is just nobody!!!Umekosa thread za kuweka mezani? au upo humu ukumbini kwa ajili ya kuwapamba baadhi ya watu? kama huna la kuelezea jamii kaa kimya.