Masha Kiboko!

Ukumbi kulipuka cant justfy kwamba anakubalika......those ccm guys are like chidren...of whom crping end s does not mean wanakubaliana na hiyo kitu

Ukumbi kulipuka cant justfy kwamba anakubalika......those ccm guys are like chidren...of whom crping end s does not mean wanakubaliana na hiyo kitu
Kizazi nenda wewe basi mjengoni tuone kama uashangiliwa na ukumbi kulipuka

Mh. Masha jana alikuwa mgeni mjengoni na mara baada ya kutambulishwa ukumbi mzima ulizizima kwa makofi na kushangilia kwa dakika zaidi ya 5. The guy bado anakubalika sana, mwenyewe nimekiri sasa

Lini ulipinga kukubalika kwa Masha hadi leo hii ukiri anakubalika?.........ntakuuliza tena mnapokuwa pamoja yeye hukushika sehemu gani ya mwili?....bega,shingo au nini?....ati anakubalika bungeni...si angekubalika kwa wapiga kura wake basi!

kwa jinsi wananchi wa Nyamagana walivyomchoka Wenje sasa,, nakuhakikishia uchaguzi ufanyike leo, Masha anampa za uso Wenje pale Nyamagana!!!

masha ni ze komedi maana mbembe zake zilizimwa vibaya, hivyo kuonekana ni kama kituko. Aombe ukuu wa mkoa Dar huyo bitozi ili aendelee kuingia disco???!

Huu ukumbi kwa kulipuka, we acha tu
Chenge akikohoa ukumbi unalipuka
Lowassa akibweka ukumbi unalipuka
Kikwete akicheka ukumbi unalipuka
Pinda akilia ukumbi unalipuka
Sita akipiga chafya ukumbi unalipuka
Mwakyembe akiguna ukumbi unalipuka
Komba akikoroma ukumbi unalipuka
CCM ikichafua hewa ukumbi unalipuka
Ukumbi kulipuka ? Cha ajabu nini !
Tehetehe, napita!!

Huu ukumbi kwa kulipuka, we acha tu

Chenge akikohoa ukumbi unalipuka

Lowassa akibweka ukumbi unalipuka

Kikwete akicheka ukumbi unalipuka

Pinda akilia ukumbi unalipuka

Sita akipiga chafya ukumbi unalipuka

Mwakyembe akiguna ukumbi unalipuka

Komba akikoroma ukumbi unalipuka

CCM ikichafua hewa ukumbi unalipuka

Ukumbi kulipuka ? Cha ajabu nini !

Hahahaa! Too many explosive devices in the house...

Mh. Masha jana alikuwa mgeni mjengoni na mara baada ya kutambulishwa ukumbi mzima ulizizima kwa makofi na kushangilia kwa dakika zaidi ya 5. The guy bado anakubalika sana, mwenyewe nimekiri sasa

kukubalika bungeni(na mazuzu wa CCM) siyo kukubalika mtaani.

mwambie aje kitaa kama atapigiwa makofi.

Wakilala kwa kula madawa ya akili na kulala na kujamba wanzao hulipuka!!! ajabu!!

Mh. Masha jana alikuwa mgeni mjengoni na mara baada ya kutambulishwa ukumbi mzima ulizizima kwa makofi na kushangilia kwa dakika zaidi ya 5. The guy bado anakubalika sana, mwenyewe nimekiri sasa

What a lame post!...Anakubalika kwa nani, kwa magamba ndani ya bunge?....hopeless!

Mh. Masha jana alikuwa mgeni mjengoni na mara baada ya kutambulishwa ukumbi mzima ulizizima kwa makofi na kushangilia kwa dakika zaidi ya 5. The guy bado anakubalika sana, mwenyewe nimekiri sasa

Kwa nini? Kwa sababu ya makofi aliyopigiwa? Be sensible gentleman/lady, if that's true, why was he not re-elected back to the house? Hypocricy is what prevails in the house, just to provoke the other side.

Mh. Masha jana alikuwa mgeni mjengoni na mara baada ya kutambulishwa ukumbi mzima ulizizima kwa makofi na kushangilia kwa dakika zaidi ya 5. The guy bado anakubalika sana, mwenyewe nimekiri sasa
Wampigie makofi na hata ikiwezekana wamsujudie kabisa,laknin sisi wana Nyamagana hatumuhitaji.kwetu Wenje ndio Mbuge,mengine ni porojo tu.

Kwa nini? Kwa sababu ya makofi aliyopigiwa? Be sensible gentleman/lady, if that's true, why was he not re-elected back to the house? Hypocricy is what prevails in the house, just to provoke the other side.

Hebu shangaa na wewe,basi hao waliompigia makofi next time waje nyamagana kumpigia kura tuone kama zitatosha kumrudisha mjengoni.Ataishia kukikodolea macho kiti cha mbunge wa Nyamagana.

Umekosa thread za kuweka mezani? au upo humu ukumbini kwa ajili ya kuwapamba baadhi ya watu? kama huna la kuelezea jamii kaa kimya.
inawezekana anao uhusiano naye...huwezi kumfagilia mtu kama masha kwa karne hii...who is masha by the way.... he is just nobody!!!

3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom