Masha Kiboko!

Salimia

JF-Expert Member
Feb 14, 2011
665
103
Mh. Masha jana alikuwa mgeni mjengoni na mara baada ya kutambulishwa ukumbi mzima ulizizima kwa makofi na kushangilia kwa dakika zaidi ya 5. The guy bado anakubalika sana, mwenyewe nimekiri sasa
 
It was so nice of him witnessing Wenje being kicked away out of the house,,,, what a wonderful moment!
 
Mh. Masha jana alikuwa mgeni mjengoni na mara baada ya kutambulishwa ukumbi mzima ulizizima kwa makofi na kushangilia kwa dakika zaidi ya 5. The guy bado anakubalika sana, mwenyewe nimekiri sasa

Huu ukumbi kwa kulipuka, we acha tu
Chenge akikohoa ukumbi unalipuka
Lowassa akibweka ukumbi unalipuka
Kikwete akicheka ukumbi unalipuka
Pinda akilia ukumbi unalipuka
Sita akipiga chafya ukumbi unalipuka
Mwakyembe akiguna ukumbi unalipuka
Komba akikoroma ukumbi unalipuka
CCM ikichafua hewa ukumbi unalipuka
Ukumbi kulipuka ? Cha ajabu nini !
 
Huu ukumbi kwa kulipuka, we acha tu
Chenge akikohoa ukumbi unalipuka
Lowassa akibweka ukumbi unalipuka
Kikwete akicheka ukumbi unalipuka
Pinda akilia ukumbi unalipuka
Sita akipiga chafya ukumbi unalipuka
Mwakyembe akiguna ukumbi unalipuka
Komba akikoroma ukumbi unalipuka
CCM ikichafua hewa ukumbi unalipuka
Ukumbi kulipuka ? Cha ajabu nini !
Cha ajabu ni kwamba mwishowe na wewe unalipuka!!
 
Mh. Masha jana alikuwa mgeni mjengoni na mara baada ya kutambulishwa ukumbi mzima ulizizima kwa makofi na kushangilia kwa dakika zaidi ya 5. The guy bado anakubalika sana, mwenyewe nimekiri sasa
Umekosa thread za kuweka mezani? au upo humu ukumbini kwa ajili ya kuwapamba baadhi ya watu? kama huna la kuelezea jamii kaa kimya.
 
Mh. Masha jana alikuwa mgeni mjengoni na mara baada ya kutambulishwa ukumbi mzima ulizizima kwa makofi na kushangilia kwa dakika zaidi ya 5. The guy bado anakubalika sana, mwenyewe nimekiri sasa

He's old news......just like the x-mass cake in February!!
 
Mh. Masha jana alikuwa mgeni mjengoni na mara baada ya kutambulishwa ukumbi mzima ulizizima kwa makofi na kushangilia kwa dakika zaidi ya 5. The guy bado anakubalika sana, mwenyewe nimekiri sasa
namshauri tu aombe hansard atulie na kuyasikiliza tena hayo makofi (kwa hisani ya mrisho mpoto).
 
Alienda kufanya nini huko....au kwa sababu hana kazi.....kaamua kupiga misele tu.... USA alikokuwa kajaribu kuomba visa kapigwa chini....imekula kwake...ndo ajue kuwa watu ndo utajiri wa mtu.
 
Nadhani aliyetuma hii thread ana upeo mdogo na taaluma ya habari. Kuwaeleza watu kitu common that is not a news.

Kulipuka it is a common attitude kwa MP's wa CCM. Hata mzee Makamba akienda bungeni kama mgeni (though wameshamtumia kama big G na alipoisha utamu wakamtupa) lazima ukumbi utalipuka (kwa upande wa ccm). Mama Hadija Koppa wa TOT akienda kwa kigezo cha kuimbia bendi ya chama (CCM) ukumbi utalipuka pia.

So there is nothing new kuhusu kulipuka kwa wabunge wa ccm maana hata akili zao ni mlipuko.!
 
Huyu bwana si ndiye alingoa vitasa akabeba mapazia na vifaa kadhaa kutoka katika ofisi zake za zamani za wizara ya mambo ya ndani baada ya kubwagwa na mh. Wenje.Hayo aliyafanya baada ya kubaini kuwa uwaziri ameutema.. Walinzi mjengoni kaeni chonjo na wageni wa aina ya Masha uwezi kujua ataondoka na nini.
 
Yeah, sure, anakubalika tena sana tu na Wabunge wa CCM. Ila kule Nyamagana, watanzania wenye uchungu na nchi hii, wanaoteseka na makofi, pongezi na NDIYO zisizo na tija huko Bungeni, hawataki hata kumuona.
 
Mh. Masha jana alikuwa mgeni mjengoni na mara baada ya kutambulishwa ukumbi mzima ulizizima kwa makofi na kushangilia kwa dakika zaidi ya 5. The guy bado anakubalika sana, mwenyewe nimekiri sasa

Hawa jamaa wanafiki kweli. wengi wao hawajui kilichowapeleka mle ninini? pia hawajui kwa nini walichaguliwa? sawa na handsome wao wote lao moja watz tujihadhari sana.
 
Huyu bwana si ndiye alingoa vitasa akabeba mapazia na vifaa kadhaa kutoka katika ofisi zake za zamani za wizara ya ndani baada ya kubwagwa na mh. Wenje.Hayo aliyafanya baada ya kubaini kuwa uwaziri ameutema.. Walinzi mjengoni kaeni chonjo na wageni wa aina ya Masha uwezi kujua ataondoka na nini.
labda ndiyo maana walilipuka wakijua karudisha vitasa alivyoviiba
 
ilikuwa ofisi ya mbunge ya mwanza mkuu. alitiia aibu ya karne. acha walipuke tu kumfariji,lol!
Huyu bwana si ndiye alingoa vitasa akabeba mapazia na vifaa kadhaa kutoka katika ofisi zake za zamani za wizara ya mambo ya ndani baada ya kubwagwa na mh. Wenje.Hayo aliyafanya baada ya kubaini kuwa uwaziri ameutema.. Walinzi mjengoni kaeni chonjo na wbageni wa aina ya Masha uwezi kujua ataondoka na nini.
 
salimia mdogo wangu,usikubali kuchumbiwa na masha! unaujua wimbo 'kanunua simu,kampa demu walipoachana kampokonya'? huyo alichukua hadi madekio na mifagio alipokosa ubunge,lol!
Salimia na thread za Masha sijui unatumwa ndugu. Kila siku Masha mwambie akuchumbie kabisa.
 
Back
Top Bottom