Masha, Jenerali Ulimwengu wazichapa

Status
Not open for further replies.
Gazeti la habari leo limechapisha habari kuwa waziri aliyepigwa chini kisha kwa hasira akaenda kung'oa vitasa na kuondoa fenicha za ofisi ya mbunge anayeitwa Lau Masha a.k.a Bitozi amezichapa kavukavu na Mwandishi wa habari nguli hapa nchini Jenerali Ulimwengu.
Mwenye habari kwa kirefu atujulishe
Leta news za uhakika acha udaku
 
Kama ni kweli basi hata ndoto zake za kuwa Rais wa nchi hii hapo baadae ndio basi. Maana alikuwa akisema naye ni Potential wa kuchukua mikoba ya nchi hi but as fate would have it he ended being a one term MPi!!!
 
Whaaaaaaaaaaaaat?????
I pray God zibakie kuwa NDOTO hivyo hivyooo!
 
maana yake ni kwmb kuna wanajf ambao huenda waliona tukio live, hivyo wanaweza kutuhabarisha zaidi, msilaumu kila kitu wakuu. sasa wakijitokeza walioona na wakaweka mambo hadharani sijui mtakuwa wageni wa nani!

Aksante kaka.

hata hivyo mbona mtoa mada kasema gazeti limechapisha? ni kweli jamani?
 
HabariLeo | Gwiji la Habari Tanzania

Habari Leo lipi? hili hakuna. Kwanza hii habari si ilivumishwa jana kwa malengo maalumu ikapotea? Bado inazunguka tu? Kuna nini kinapikwa jamani? Maana wanaoivumisha ni jamaa zake Masha sasa wanapika kitu gani kwa Jenerali? Maana kama kupigana ikiwa stori ina madhara kwa Masha na si Jenerali, sasa kuna nini jamani hata wafuasi wa MAsha waanze kuzua hilo?
 
Hebu acheni kufagilia upuuzi! Kama amesikia anataka na sisi tuwe tumesikia? Kama "akisikia" mkewe yuko na rev Masa angekuja JF kuandika. This is not a smart movie at all. (QUOTE).

Nimependa hii ya kwenye bold.
 
HabariLeo | Gwiji la Habari Tanzania

Habari Leo lipi? hili hakuna. Kwanza hii habari si ilivumishwa jana kwa malengo maalumu ikapotea? Bado inazunguka tu? Kuna nini kinapikwa jamani? Maana wanaoivumisha ni jamaa zake Masha sasa wanapika kitu gani kwa Jenerali? Maana kama kupigana ikiwa stori ina madhara kwa Masha na si Jenerali, sasa kuna nini jamani hata wafuasi wa MAsha waanze kuzua hilo?
Thanks nadhani hapa mjadala umefungwa... Tumegundua mchele ni upi na pumba ni zipi
 
Very possible mana dogo anakata kinywaji kweli sasa hivi. Anatakiwa ajue kuwa bado kuna maisha bila ubunge/uwaziri. Mbona sisi tunakula tu mihogo yetu huku mtaani? He needs councelling>
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom