Je ni kweli Kuna mzee wa kimila wa kipare anafanya uganga huu?

Mzaleee

JF-Expert Member
Dec 16, 2016
1,617
3,031
Wakuu kwema?kama kichwa Cha habari kinavyojieleza nimesikia Mahali kwa juu juu kuwa eti upareni Kuna mzee wa Mila ambaye kupitia maombi maalumu kwa mizimu yake anauwezo wa kutatua changamoto kama ugojwa,ajira,biashara na mengineyo.

Naomba kwa mwenye taarifa kamili kuhusu mzee huyo atiririke,Asanteni.

Mshana Jr
 
mizimu ya kipare org inatoa msaada kwa royalbloods tu
 
Wakuu kwema?kama kichwa Cha habari kinavyojieleza nimesikia Mahali kwa juu juu kuwa eti upareni Kuna mzee wa Mila ambaye kupitia maombi maalumu kwa mizimu yake anauwezo wa kutatua changamoto kama ugojwa,ajira,biashara na mengineyo.

Naomba kwa mwenye taarifa kamili kuhusu mzee huyo atiririke,Asanteni.

Mshana Jr
Shetani ni taasisi kubwa! Mambo yoote ya giza ikiwemo ibada za mizimu ya makabila yoote, majini, uganga na unajimu, miungu yoote ya kibudha, ya kichina, na miungu yote inayoabudiwa katika nchi zoote, dini zoote zimefungamana ndani kwa ndani na shetani, n.k. Kwahiyo wewe kama unataka msaada tafuta miungu inayojibu kwa wepesi lakini ukubaliane na matokea kwasababu zina masharti! Mungu pekee ambaye hana masharti ni Mungu wa walokole isipokuwa na shetani kaishaanzisha dini za walokole ambazo hazina tofauti na ibada za mizimu na hirizi!
 
Sio kweli
Kwanini sio kweli...

Wakati Kila kitu iwe elimu, kuzaa, kuolewa, kazi lazima waende kwa huyo Mzee akawaombee kwa wafu...

Tena wanatoa na kafara ya damu ya wanyama...mbuzi au kondoo...

Wanaongea nao hao wafu Yani kama mtu anaongea na mtu aliye hai...

Wanamuomba kama Mungu wao...

Nitarudi Tena

Kusema usipoenda inakuwaje...
 
Duh,katisha huyo mganga
 
Mmmh,si mchezo
Ni balaa, sasa Kuna uchawi wao huo unaitwa uchawi wa mizimu...

Hapo ndo balaa, yaani wanaamsha wale watu waliokufa wanakuja kuwatesa Hawa walio hai...

Maana hao mizimu wanakuwa ni wale waliouliwa kabla ya siku zao kwisha...

Hivyo wapo hai ktk Ulimwengu wao wa giza Sasa wanakuwa waliouliwa kwa magonjwa utakuwa ilikuwa Kansa, sukari, au UKIMWI...

Wengine waliokufa na ajali...

Sasa wale mizimu wanaamsha kuja kuwaua Hawa walio hai kwa kifo kilekile Tena kwa wakati walioupanga...

Ndio unakuta baba alikufa na Kansa na mtoto Kansa....

Nitarudi...
 
Back
Top Bottom