The Finest
JF-Expert Member
- Jul 14, 2010
- 21,605
- 6,071
Mhhh!!! Haya
What up cuzzo? yeah I am your long lost cousin......auntie mzima....anakuulizia pia....
Whatchu been up to lately?
The Invisible keshasema Jenerali hayupo nchini. So what the fuss guys?! Stop tormenting ur grey matters!
Nilikutegemea baada ya taarifa hii, thread hii ya uzushi, ingeshatendewa stahili yake!Hiyo itakuwa lini? Jenerali hayupo nchini kwa sasa. Halafu Masha pamoja na mapungufu yake hajafikia level hiyo bana, kubishana kupo ila mpaka makonde sidhani kama inawezekana
maana yake ni kwmb kuna wanajf ambao huenda waliona tukio live, hivyo wanaweza kutuhabarisha zaidi, msilaumu kila kitu wakuu. sasa wakijitokeza walioona na wakaweka mambo hadharani sijui mtakuwa wageni wa nani!