Elections 2010 Masha agoma kusaini matokeo.. Diallo amwagwa na Hiness wa CHADEMA

wao wao ndo wanasema watu wakubali na kuyapokea matokeo kwa nini agome na anajua hatumpendi hata kidogo
masha hebu saini hayo matokeo utuondokee na mradi wako wa Vitambulisho..nakuchukia wewe na issue uliyomfanyia mtoto wa mwenye ferry ya kamanga .
Na ushindwe kwa jina la Yesu..
Na huyu Shekhe Yahaya achukuliwe hatua za unajimu feki
 
Jamani watu ni wagumu sana kukubali sasa kama mheshimiwa alipopata hicho sikuna mtu alimuondoa sasa na yeye umefika mada wake wa kuondoka sasa umefika just Sign
the paper.

Habari nilizopata sasa hivi ni kuwa Mgombea ubunge kwa tiketi ya CCM jimbo la Ilemela Bw. Anthony Dialo amegoma kusaini fomu za kukubali matokeo baada ya kuona kuwa amebwagwa na mgombea wa Chadema. Nadhani alikuwa na mategemeo makubwa ya kushinda.
 
Siasa za TZ vipi?? mbona wenzetu USA na Europe ukishindwa uchaguzi unakubali na kumsapoti mwnezio alieshinda, sasa TZ naona kila mtu anagoma kusaini matokeo as if walijua watashinda, Swein Masha na wenzio....kama nakuona ulivyokuwa unatutambia Dubai jinsi gani umeingiza hela ndani ya miaka mitatu ya uwaziri, sasa si ukatumie hizo pesa ulizoswindo from us! Pole uni mate.
 
Aache mambo ya kitoto huyo, anapaswa asaini kushindwa kwake kwani hiyo ndiyo maana halisi ya demokrasia.peoples' power has spoken
 
mwenye zile hotuba za kikwete za kukubali matokea aziweke kwenye loud speaker hawa mafisadi wasikie. watu wanafanya taifa kama mali yao ebu wasign bwana wanapoteza muda.
 
Jamani Masha labda kalewa tu hajui kinachoendelea au kapata kichinchiri yuko busy gesti hajui hata matokeo
 
Tuendelee kumuomba mungu asikie kilio cha Watanzania wanaotaka ukombozi wa nchi yao, nawapongeza sana wanaodhibiti uchakachuaji wa kura, tuko pamoja, safari hii mpaka kieleweke enough is enough jamani looh!

Wote waliopita wapya itabidi tuwape miaka mitano ya kuweka mambo yao sawa kisha watakuja kuomba miaka mingine DALA ya utekelezaji halafu wataomba mingine FIVE ya kuimarisha hayo yanayoitwa maendeleo,Watz mnashangilia nini tuulizeni wenzenu? CHANGING GORVERNMENT IS VERY EXPENSIVE U REAL DON'T KNOW DON'T BE FASTER U WILL REGRETE WITH YOUR CHOICE AND DISSAPPOINT THEM,KEEP IT IN YOU MIND YOU WILL TELL ME AFTER TWO YRS. CRYING NOT LAUGHING.:A S-baby: OR :peep: ALWAYS.
 
Hii inadhihirisha kuwa Mawaziri wa JK ni bomu.

.
Ni afadhali wangejiuzulu uwaziri na kuingia kwenye kinyanganyiro wakiwa tu watu wakawaida. Sasa Jk aliwapofusha kuwaruhusu wagombee wakiwa bado ni mawaziri ndio maana wanaona aibu kufukuzwa ofisini kama mbwa mwizi. EE MIMI NISEME JE? MAANA BWANA MUNGU AMENIFURIKISHA KIKOMBE CHANGU KWA FURAHA NA SHANGWE. VIVA NGOSHA, VIVA SLAA, VIVA CHADEMA!!
 
Jamani asiyekubali kushindwa si mshindani..........................CCM yaelekea hawakusoma alama za wakati.....

Walikuwa mstari wa mbele kuwashinikiza wapinzani wawe tayari kuyakubali matokeo, na kujisahau wao wenyewe pia wawe tayari kuyakubali, sasa inaelekea kokote kule ambako thithiem imeanguka basi mkakati ni kuyakataa matokeo na kugoma kusaini forms za matokeo.
 
Habari za kuaminika kutoka kwa dada yake na Rau Masha ni kwamba yuko hoi Bugado Hospital, na wanachadema wanadai matokeo yatagazwe, hapotoshi ofisi za jiji Mwanza.

Alogomaga kugombea Ikulu ikamlazimisha arudi kugombea Nyamagana wakati hali ya kisiasa ndani ya CCM hapo ilikuwa mbaya na haikumtaka tena

 
Back
Top Bottom