Elections 2010 Masha agoma kusaini matokeo.. Diallo amwagwa na Hiness wa CHADEMA

Let them face the facts and face the bitter side of politics.....chungu lakini tamu
 
pOLE BABA DIALO, ILA NAKUHESHIMU SANA KWA NAMNA STAR TV NA RFA WANAVYOJITAHIDI KUWA VYOMBO VYA HABARI ,USIJAKI ENDELEA NA KAZI.
 
nipeni mie nimsainie...teh teh teh. Natamani ningekuwa ndio mimi nawpelekea hawa watu hizo papers za kusain.:bowl:
 
Aliikiri atatawala milele ee!!
Asaini asisaini ukweli ndio huo, kabwagwa na asahau kuwa mbunge.
 
Nyani Ngabu,

This guys should Go to dar today and meet his folks at RG...Ni aina ya viongozi wasiotakiwa..

Ujumbe umefika
 
Dah! Biashara imekata kwake!!!.....Huyu jamaa mjinga sana, majigambo, dharau na kutaka priorities hata sehem isiyostahili! asife ili aone faida ya ufisadi.:A S angry:
 
Akubali yaishe hata yule alieshindwa 2005 alikuwa binadamu kama yeye na alikubali. 2010 hatudanganyiki
 
Sasa kama wagombea wote wanagoma kusaini matokeo maana yake nn, walidhani watafia madarakani? Waache upuuzi, lazima wakubali kanuni za ushindani - kushinda, kushindwa au droo! Big up wananchi wa mwanza, mmefanya maamuzi sahihi... Change for real
 
Jamani asiyekubali kushindwa si mshindani..........................CCM yaelekea hawakusoma alama za wakati.....
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom