Elections 2010 Masha agoma kusaini matokeo.. Diallo amwagwa na Hiness wa CHADEMA

Na bado atatosha tu!! Yeye alidhani hii ni nchi ya kisultani!!!:doh:
 
Hilo ni fundisho kuwa usimtendee mabaya mwenzi wako,alichakachuwa uraia wa jamaa na sasa anatakiwa kukabidhi makablasha sijui itakuwaje
weeeeee masha toka hapo kasaini tunataka kumwapisha mtu wetu
mapinduziiii-daimaaaaa
 
aisee, lakini nadhani hiyo sio dawa. kwanini asisaini halafu kama ana malalamiko aende mahakamani. mbona wabunge wengi walishaangushwa mahakamani na uchaguzi kurudiwa.
 
pole sana Mr. Dialo..ila hili ndio politics ni uhamuzi wa wananchi na sio juu yako.. just sign them damn papers don't make me mad.:A S angry:
 
Inaelekea thithiem wameamua/wamekubaliana kung'ang'ania kubaki madarakani kwa kuyakataa matokeo na hivyo kutosaini form ya matokeo. Inaelekea kuna trend hapa maana Masha, Diallo na Batilda wameshayakataa matokeo.
 
habari za kuaminika kutoka kwa dada yake na rau masha ni kwamba yuko hoi bugado hospital, na wanachadema wanadai matokeo yatagazwe, hapotoshi ofisi za jiji mwanza.

mungu ampe afya njema , hizi ni challenge tu za maisha ajaribu kipindi kingine
 
Sasa anawakatali wapiga kura au? He he he he let them face the bitter side of politics
 
Back
Top Bottom