Martin Chacha mkazi wa Tegeta inadaiwa ameuawa kwa kipigo na ASAS akishirikiana na SUMA JKT

Ushaishiwa hoja,ukweli ndio huo jamaa wabaguzi,imani yangu aijuaye ni Allah (s.w) na yeye ndiye ataenihukumu.
Uwe na mchana mwema.
Ni kweli hao waisiharam ni takataka tu bora wazungu wana ubinadamu, fanya mpango umpokee yesu ndio mwokozi
 
Ni kweli hao waisiharam ni takataka tu bora wazungu wana ubinadamu, fanya mpango umpokee yesu ndio mwokozi
Dini ya uislam haina tatizo ila hawa waarabu ni shida.
Mie mwenyewe muislam.
Uislam na uarabu ni vitu viwili tofauti.
 
Nakuunga mkono. Watu tukiambiwa tukiwashe mara moja ili yapatikane mabadiliko ya maisha hatutaki. Kiamsingi wanauowa kwa hila kama huyu wako wengi. Mimi tangu yule aliyeingiziwa chupa ya sehemu ya haja kubwa kuachwa anatamba na ubunge wake nilihakikisha ukiwa CCM hata ufanye nini hufanywi kitu. Ndiyo maana hawa waarabu koko na wahindi muda wote wako CCM ili kuficha uozo wao.
mkiambiwa muandamane manenda kutembea barabarani kama kina mbowe na genge lake hayo siyo mandamano ,maandamano bila kuuwana barabarani bado kabisa hiz ni kufanya mazoezi tu
 
Kama Jamaa alikuwa amefungwa utata mtupu ila kama ni issue imetengenezwa nayo ni kasheshe... alfau unakuta mtu anaswali mno... yaani mtu wa dini... Waarabu wanasema Munafik
 
Polisi wamefanya uchunguzi wa awali na kubaini kuwa Chacha alifia gerezani na siyo mikononi mwa ASAS.
 
mkiambiwa muandamane manenda kutembea barabarani kama kina mbowe na genge lake hayo siyo mandamano ,maandamano bila kuuwana barabarani bado kabisa hiz ni kufanya mazoezi tu
Kuna watu wengine akili zenu zinawatosha kuvuka barabara tu. Kauane na ndugu zako.
 
Back
Top Bottom