mapenzi na housegirl

bora atafutwe house boy
House boy je huyo maza mdogo wake akimtaka house boy itakuwaje? Mie nadhani huyu dingi fataki anatakiwa afanyiwe maombi kwani kinachomsumbua ni pepo la ngono, akiombewa tamaa alizonazo kwa mabinti zitaisha
 
mareche,

kwani huko kijijini kwao aliua? Kwanini alazimike kubakwa maana kufanya mapenzi na mtu bila hiyari yake ni ubakaji ASIMPE!
 
Wanaume wa namna hii wanatakiwa kukemewa kwa nguvu zote. Inatia kinyaa kufanya ufuska mpaka nyumbani kwako.
 
Maza hausi ajipange kwanini mmewe anapenda dogodogo center kunaishu hapo inaonekana huyu maza kimeo..
 
mareche,

Akimnyima atafukuzwa kazi, akimpa, mama akajua,atafukuzwa kazi, akimsema kwa mama, pia atafukuzwa kazi, then ni bora amnyime afukuzwe kazi.
 
Unakua umeolewa na mume kama huyu na wewe unaringa kwa watu eti nimeolewa tena unajigamba mwanamke kuolewa heshima bana phewwwwww ni bora nibaki single nijue moja tu
Ili mradi usitafune waume za watu
 
Mshauri MAZA afanye utafiti mdingi anapendea nini kwa mahousegirl kisha afanyie kazi upande wake. Litakua suluhu la kudumu.Vinginevyo dingi ataenda kwa majirani mtaa wa pili

mareche,
 
uzi wako umenikumbusha hapa ninapoishi kila housegirl anaekuja lazima baba mwenye nyumba amgegede wanabadilishwa kila baada ya miezi kadhaa sasa mama kamleta ndugu yake naye anagegedwa kama kawa japo ndugu wa mke wake.
 
Acheni kudanganya wanawake hapa. Si lazima uwe unakula hg ndio wawe hawakai kwako. The more strict the wife, the easy to eat the hg. Wanawake wao wenyewe ndio wanasababisha wanaume wale hg au watoke nje.
 
Sa unarudi umenuna,kusama mpaka ubembelezwe,kazi zako hufanyi kila kitu bk3 kitandani mvivu,unategemea nini.
hafu na wewe ishu za kumsema dingi acha we kama unampenda dogo tangaza ndoa,pia mkumbushe maza kutekeleza wajibu wake vizuri.
 
Back
Top Bottom