mapenzi na housegirl

Hata mimi nimeona jamaa atakuwa yeye ndio anamuonja housegirl

Pls gaga utakuwa hunitendei haki me sina tabia ya kula ha wadudu nibora nikatafuta wa kununua nitumie pls nitake radhi
 
Mi natamani/nawaza tuwe na chombo cha kuwasidia mabinti hawa wa nyumbani.
Ngoja tu, Mungu aniache hai nijue pakuanzia.

Na ninyi wanaume, mnawaharibu mabinti za watu, saba yenu itafika tu.
 
this is very cruel and unacceptable.....eehw Mwenyenzi Mungu utunusuru sisi waja wako...lol!
 
Hizi sheria zenu hizi....?????Eti haki...!!! Haki ?? Mnainyima haki jinsia ya kiume.Dume limeumbwa kuongeza idadi ya viumbe duniani,sasa mzee anapo............. na hausgeli mnakasirika tufanyeje sasa na mwanaume kaumbwa ku

Mmmmmh, lazima utakuwa hujasali leo,
Unajua ukiacha hata siku moja upako unapungua?
Haya usiwe unaacha kusali, sawa eeh!!!
 
Kabla Gaga hajakutaka radhi omba radhi wewe kwanza kwanini binadamu unamuita mdudu????

du dena poa niwie radhi sana kwa kudhalilisha wasichana kwa kuwaita wadudu ila namkumbushaia gaga anitake radhi pls
 
Mmmmmh, lazima utakuwa hujasali leo,
Unajua ukiacha hata siku moja upako unapungua?
Haya usiwe unaacha kusali, sawa eeh!!!

Hakika sasa umeukaribia utakatifu maana hapo ulichoniambia ni kweli tupu,nitazingatia ushauri wako lakini na hawa mabinti nao wasinyimwe haki zao kwani huwezijua, kama anatoa huduma nzuri kwa mzee anaweza pandishwa cheo toka hausi gelo to nyumba ndogo.
 
PM inakuwa je aisee!!!
Unajua kama nimekumiss lakini!!
Mmmmh, nimeanza kupata hofu, na hizi habari za
House gurl kupandishwa cheo. Mmmmmh hivi si unajua mm nina roho ndogo eeh!!!!
 
PM inakuwa je aisee!!!
Unajua kama nimekumiss lakini!!
Mmmmh, nimeanza kupata hofu, na hizi habari za
House gurl kupandishwa cheo. Mmmmmh hivi si unajua mm nina roho ndogo eeh!!!!

Asante kwa kuonesha kunijali na kunimiss,hilo la HG kupandishwa cheo usiwe na wasiwasi nalo kwa kuwa kwangu haliwezi kutokea na kwenye roho ndogo shaka ondoa kabisa tutailea kama mtoto mchanga mpaka itakapokuwa na kuweza kuhimili mikikimikiki na purukushani za maisha halafu ndioo.
 
Unakua umeolewa na mume kama huyu na wewe unaringa kwa watu eti nimeolewa tena unajigamba mwanamke kuolewa heshima bana phewwwwww ni bora nibaki single nijue moja tu
 
Mshawishi mama mdogo na baba mdogo wamlete na houseboy .....! Usiweke hii bayana, lakini mind you, reaction will not sustain the situation...!
 
Back
Top Bottom