Dr Lizzy
Platinum Member
- May 25, 2009
- 30,822
- 59,435
Ehhhh........?!I Love you too huny bunny mmmhhh naomba ulicho kificha nyuma hahahah lol( tena napenda nyekundu hahaha Lol)
Ehhhh........?!I Love you too huny bunny mmmhhh naomba ulicho kificha nyuma hahahah lol( tena napenda nyekundu hahaha Lol)
Jamani kama nimekosea nakubaliana kukosolewa, kwa muda mfupi niliokaa kwenye jamvi ili, naona topic zinazohusu mapenzi mahusiano na urafiki ziko juu kwa maana ya views even replies, pia Thread zenye debate kali zinachangamkiwa, naomba nisaidiwe kwa kinachosababisha hizo snerio mbili iwe hivyo, hasa Tread za mapenzi why ?
Pumua mamake ...achilia pumnzi mpenzi..Bado nakupenda ati hahahahaha lolEhhhh........?!
Ahahahahah lol bila mapenzi hakuna dini..