Mapenzi mahusiano na urafiki

Jamani kama nimekosea nakubaliana kukosolewa, kwa muda mfupi niliokaa kwenye jamvi ili, naona topic zinazohusu mapenzi mahusiano na urafiki ziko juu kwa maana ya views even replies, pia Thread zenye debate kali zinachangamkiwa, naomba nisaidiwe kwa kinachosababisha hizo snerio mbili iwe hivyo, hasa Tread za mapenzi why ?

Ndugu huna haja ya kuuliza hapa..jiulize kwanza wewe mwenyewe umepataje interest ya kufanya huo utafiti...Anyway..

Mapenzi+ mahusiano = Life
 
Mapenzi ndio kila kitu, ukiangalia hata wewe unajituma kazini na kutaafuta pesa ili uwaridhishe na kuwatunza uwapendao, nina maanisha wazazi, mke, watoto, ndugu ,jamaa na marafiki.... lol
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom