Manji anakwepa hukumu ya EPA?

What I know Manji hawezi kushindwa kulipa pesa za EPA kama ni miongoji wa walizichukua. Ila ninachofahamu ni kuwa tatizo alilonalo Manji linaweza kuwa limesababishwa na "mipoda" maana Manji ni mtumiaji mzuri wa "unga" na wala huwa hajivungi!

Hawa wataalam wetu wa jf wanaodai Manji anakimbia EPA wanafurahisha baraza tu akili ya kuvuka barabara inatosha kukwambia vitega uchumi alivyonavyo Manji ni zaidi ya pesa ZOTE za EPA sasa cha kumkimbiza nini?

Wakati mwingine ushabiki unazidi mpaka unaathiri our reasoning....
 
Masatu, How sure are of this fact?? Based on what?? Mkuu, why do I get this feeling that you are a YANGA fan?? teh teh...
 
Manji ni Mzima na yupo Nairobi na anazungumza. Jambo la ajabu, ametokea ICU na hawezi kuzungumza lakini leo ameongea na mtu kwa simu akiwa MZIMA WA AFYAAAAAAAAAAAAAAA!!!!!! Wajinga ndio waliwaaaaoooo!!!!!!!!!!!! Mwanyika, Mwema, Hosea.... Kalabahooooo!!!
HAHAHAHAHA..........Loooo mzima kapona automaticaly alipofika Nairobi haya sina la kusema its like a movie story
 
Hawa wataalam wetu wa jf wanaodai Manji anakimbia EPA wanafurahisha baraza tu akili ya kuvuka barabara inatosha kukwambia vitega uchumi alivyonavyo Manji ni zaidi ya pesa ZOTE za EPA sasa cha kumkimbiza nini?

Wakati mwingine ushabiki unazidi mpaka unaathiri our reasoning....

Kule kwenye OIC na Mahakama ya kadhi ni waislamu na makafiri, huku kwa Manji ni Yanga na Simba na Uchaga kidogo!!!!!!!!!

Enewei; James Watson aliwahi kunena kuwa waafrika tuna upungufu wa uwezo wa akili!!!!

Acha niwahi lindo!!!!!!
 
Hawa wataalam wetu wa jf wanaodai Manji anakimbia EPA wanafurahisha baraza tu akili ya kuvuka barabara inatosha kukwambia vitega uchumi alivyonavyo Manji ni zaidi ya pesa ZOTE za EPA sasa cha kumkimbiza nini?

Wakati mwingine ushabiki unazidi mpaka unaathiri our reasoning....

MKUU MASATU UKUMELEWA HUYU NI KWAMBA ANAKIMBIA ASIHUKUMIWE ,HATA KAMA ANA MALI ZAIDI YA EPA HIZO UNAZOZIONA NI BAADHI YAPESA ZA EPA NAFIKIRI TUMESAIDIANA KIDOGO
 
Mama kwenye EPA ukilipa ugomvi umeisha!
 
Mama kwenye EPA ukilipa ugomvi umeisha!

Manji hawezi akakimbia kwa visent vya EPA.
Kuna wakuu wanadai MAnji ni pete na kidole na mkuu kuhusu swala la Yanga sasa akimbie nini?Mbona anaweza tu mkuu akamaliza utata juu kwa juu huko huko.Nakumbuka kuna watu humu walisha sema anavuta bangi hadhalani lakini je amechukuliwa hatua gani?
Yule mimi naamini yupo karibu sana mkuu wa nchi kwa hiyo hawezi kimbia.
 
What I know Manji hawezi kushindwa kulipa pesa za EPA kama ni miongoji wa walizichukua. Ila ninachofahamu ni kuwa tatizo alilonalo Manji linaweza kuwa limesababishwa na "mipoda" maana Manji ni mtumiaji mzuri wa "unga" na wala huwa hajivungi!

Sokomo... kwa kusoma posting zako napata picha kuwa wewe unamwelewa Manji kwa undani.. na ni mtu mwenye fedha nyingi sana.. naomba utueleza pamoja na fedha zooote alizo nazo kwanini bado anawaibia Watanzania maskini wasiomudu mlo hata mmoja?
 
Manji arejea Dar akiwa fiti

Habari Zinazoshabihiana
• Nipo fiti, narejea leo-Manji 31.10.2008 [Soma]
• Hali ya Manji bado tete 30.10.2008 [Soma]
• Manji augua ghafla Dar 29.10.2008 [Soma]

Na Mwandishi Wetu

MFADHILI mkuu wa Klabu Bingwa ya Tanzania, Yanga ya Dar es Salaam, Yusufu Manji, amerejea nchini kutoka Nairobi alikokuwa akitibiwa malaria katika hospitali ya Aga Khan.

Ndugu wa karibu wa mfadhili huyo ambaye hakutaka jina lake litajwe gazetini, alisema Manji aliewasili Dar res Salaam juzi usiku kwandege, baada ya hali yake kuridhisha.

"Aliwasili juzi usiku wa saa tatu akitokea Nairobi na kwa kweli hali yake hajambo anapumzika kidogo na ataendelea na shughuli zake kama kawaida," alisema ndugu huyo.

Manji ambaye alikimbizwa Nairobi Jumatano iliyopita baada ya hali yake kubadilika ghafla na kukimbizwa Aga Khan Dar es Salaam, alikuwa akikiabiliwa na malaria kali.

Alipatwa na maradhi hayo siku moja tu baada ya timu ya soka ya Yanga kumlaza hasimu wake Simba kwa bao 1-0 katika uwanja mkuu wa Taifa Jumapili iliyopita.

Baada ya kubanwa na malaria, alikimbizwa katika hospitali ya Aga Khan ambako alilazwa siku moja na kupata nafuu akatolewa na kurudi nyumbani, lakini hali ilibadilika na kukimbizwa Nairobi.

Hata hivyo katika kile ambacho sasa kinaonekana kuwa ni mazoea kimaisha, baadhi ya watu walivumisha kuwa mfadhili huyo amefariki dunia.

Manji aliposikia habari hizo alisikitika na kuzikanusha huku akisema yuko fiti na alitarajia kurejea nchini juzi, kauli ambayo aliitekeleza.
 
Back
Top Bottom