Rafiki yangu amepokea msg sasa hivi ya kuwa Manji is no more? Kuna mwenye habari za uhakika huu ya hili?
inauma kuona fisadi anatembea kwenye gari lenye kiyoyozi kutokana na kodi zetu alafu wavuja jasho tunapandishiwa nauli za daladala walahi tutakomaa na nyie mpaka kieleweke
kwa maneno kama hayo kwanini asife
inauma kuona fisadi anatembea kwenye gari lenye kiyoyozi kutokana na kodi zetu alafu wavuja jasho tunapandishiwa nauli za daladala walahi tutakomaa na nyie mpaka kieleweke
kwa maneno kama hayo kwanini asife[/QUOTE]
GROW UP Brother !
alaa! kumbe! staili ili ya Gavana Balali inaendelezwa, kweli serekali ya awamu ya nne ni sinema kali sana.
Manji ni Mzima na yupo Nairobi na anazungumza. Jambo la ajabu, ametokea ICU na hawezi kuzungumza lakini leo ameongea na mtu kwa simu akiwa MZIMA WA AFYAAAAAAAAAAAAAAA!!!!!! Wajinga ndio waliwaaaaoooo!!!!!!!!!!!! Mwanyika, Mwema, Hosea.... Kalabahooooo!!!
This is the beauty of jf! vyanzo vya habai (magazeti) ynaipoti manji anaumwa malaria na imepanda kichwani. Lakini maripota wetu wa jf wanasema anabwia unga!
Tutafika twendeni hivyo hivyo.......
Kuna text message inasambazwa kuwa yule mfadhili mkuu wa timy ya yanga amefariki dunia mchana huu, kama kuna mwenye uthibitisho wa hili pls wekeni hapa watu wawe na uhakika
Kama yupo hapo Nairobi, kwanini wasiwasiliane na makachero wa huko asitokomee??,
Inavo onyshesha katika dili hili na kina Mwanyika wamo, haitoshangaza kwamba hata ni mchongo wa chukua chako mapema!
kwani ttz hasa lililo mpeleka jamaa hospt ni nini... ingawa leo asbh nimesikia alihamishiwa ICU jana mchana
Kama yupo hapo Nairobi, kwanini wasiwasiliane na makachero wa huko asitokomee??,
Inavo onyshesha katika dili hili na kina Mwanyika wamo, haitoshangaza kwamba hata ni mchongo wa chukua chako mapema!
Hakuna official news kuwa anaumwa nini lakini wapo bhaadhi wanaodai kuw jamaa alikuwa anatumia madawa ya kulevya sasa am not sure kama ni kweli au la.