Sisi binadamu hatuna wema kabisa......! Yule dada wa watu pengine hata mawazo ya kumaanisha hicho unachotaka kutuaminisha hapa hakuwa nayo kabisa! kuna manesi wapo charming sana, akiwa anakuhudumia unatamani ni huyo huyo tu aje akuone, ipo ile mibandidu, hutaki hata lije likuone hata kama linamiumbo ya kimitego!
Na kwangu mimi nesi huyo possibly yuko hivo kwa wagonjwa wake wote, na huwafanyia hivo as part of healing process na si kwamba huwa anamaanisha.....! tatizo sisi miafrika demu akitabasamu au akuchekea au kakupiga bega unajua tayari imekufia au anakumind.....!
Similary huyo nesi angekuja na kauli za kijeshi.....vua ngua haraka, rara hapo kitandani, shusha suruali etc ungekuja tena kulalamika wewe.....!
Acheni hizo fikra potofu sometimes wandugu....!
Nimetoka kwenye hospitali moja for CT Scan..
Nikaambiwa niingie ktk chumba kimoja hivi kwa ajili ya kupimwa..akaingia nesi mmoja yani nashkuru nimetoka salama kwakweli na hata yale maumivu niliyokua nikiskia yamepotea kabisa! mwe..hata kwa wagonjwa
Ni hospital gani mana mi kifua kinanisumbua nataka nikafanye checkup!! niagizie
Zangu lazima apagawe mana zimezinyoa kiduku.
We ChweChwe mbona unavituko hivyo, umeshajua jina la hosp lakini?
kwakweli alikua ameumbika sana..na kimini alichovaa huyo bosi wao sijui kama alimuona..alijaribu kuinama mara kadhaa bt mzee nikajifanya sioni
alipoingia akaniambia itabd uvue nguo kisha ulale pale kitandani..nikamuuliza zote? akajibu ndio! wakati bado nashangaashangaa akaniuliza au nikuvue?
Nikamwambia sii mbaya..akasema inaonekana umechoka akashika tai yangu akatoa then shati akamalizia na vest. Akataka kuvua mkanda nikamwambia huku nitamalizia..baada ya kulala kitandani (ofcz nilibaki na bukta) kwa mshangao eti akauliza kumbe una garden love(nywele za kifuani)
Basi alifanya vituko kibao huku akinipima akauliza kama nimeoa na mengine kibao