Manesi nao wanatutega mahospitalini...!

Jamani muwe mnataja na majina ya hizo hospital, maana wengine ni kama Tomaso mpaka wakaone
 
kazi kweli kweli,na manesi nao?? nilijua ni baa medi na wadada wa saluni.....kumbe tuna manesi...haendi mtu kwa vipimo mwenyewe....thanks mkuu.....:A S 20:

Michelle taratibu maana naona unataka uanze kukaba mpaka penati lol!!
 
Pale Dodoma General hospital, kuna medical officer mmoja yeye kazi yake baada ya kumpima/hudumia mgonjwa na kama amependa, ni kuwaomba namba za simu za wagonjwa wanawake kwa kisingizio cha kutaka kukuulizia maendeleo ya ugonjwa wako, lakini baadae anakutongoza, na ukimkataa tu anaanza kusema hata ukikataa lakini nimesha kuona mwili wako wote, hivyo ni heri unipe tu nile kuliko kuninyima kwani huna cha kuficha kwangu?:laugh::laugh::laugh::laugh::laugh::laugh::laugh::laugh::laugh::laugh::laugh::laugh::laugh::laugh::laugh::laugh::laugh:

Hii ni ku jeopardize profession yake sema kwa kuwa ni bongo basi yanenda kibongobongo, lakini angekuwa kwa wenzetu siku nyingi angefukuzwa kazi ama asingefanya huo ujinga.
 
kuumbwa mwanaume ni nusu ya kufeli maisha aisee! mimi long taim bek kuna ka daktari ka mschana kalikuwa ukienda clinic yake kanakushika shika ndani ya suruali halaf kanajifanya "we dogo mbona temperature imepanda hivi?, halaf kakinishtukia mishipa imesimama kanajifanya "ooh sorry darling skukusudia kumkera jirani yangu, nenda nje kidogo mpaka atulie" , mimi nilikuwa naenjoy kweli aisee, nikawa daily nahuzuria pale klinik japo kwa hela ya kukopa
 
Kama maumivu yaliisha, nafikiri ndicho hasa ulichokifuata hapo hospitali. Nampa big-up sana huyo nurse kwa kukutibu!
 
alipoingia akaniambia itabd uvue nguo kisha ulale pale kitandani..nikamuuliza zote? akajibu ndio! wakati bado nashangaashangaa akaniuliza au nikuvue?
Nikamwambia sii mbaya..akasema inaonekana umechoka akashika tai yangu akatoa then shati akamalizia na vest. Akataka kuvua mkanda nikamwambia huku nitamalizia..baada ya kulala kitandani (ofcz nilibaki na bukta) kwa mshangao eti akauliza kumbe una garden love(nywele za kifuani)
Basi alifanya vituko kibao huku akinipima akauliza kama nimeoa na mengine kibao

mbona umekatisha movie....
 
Dunia imekwisha!
Machangudoa na makakapoa kila Tasnia/Fani.Kuna kupona?

Lakini tusisahau kuwa hawa watu ni binadamu na hulka na tabia zile zile za binadamu wengine.Wengine wana roho ya kustahimili na kumudu vishawishi.Wengine hawana.Tusamehe tu na kuomba Mungu.
 
pole mgonjwa kumbe ulikuwa unaumwa tu kisaikolojia na sikuhitaji CT scan. mhh tafuta mtu wa kukupa massage kila wkt yaonekana mwili wako umesinyaa tu unahitaji kuchangamshwa.
 
Kama ni kweli kashtaki, ungesema mengine lakini kwa huko ulikofika, mmmh sijui bana
 
LOL,kumbe na madokta wa kike wamo.
hii tabia ipo kwa madokta vijana.mimi ishantokea kama mara 2.
moja ni hospital flan hivi karibu na posta nilienda na maumivu ya chini ya tumbo na kiuno.yani alikishikashika kiuno mpaka basi.sema kwa kua nilikua mgonjwa na alivyokua anakishika alinipa ahueni.baada ya hapo nilipewa dawa nikaishia zangu,cha kushangaza usiku alipiga simu kuulizia kama nimemeza dawa,namba sikumpa alizitoa kwenye karatasi ya bima ya matibabu.huwezi amini alikua anakuja hadi ofisini kunijulia hali.nashukuru sikuugua tena.
 
Sisi binadamu hatuna wema kabisa......! Yule dada wa watu pengine hata mawazo ya kumaanisha hicho unachotaka kutuaminisha hapa hakuwa nayo kabisa! kuna manesi wapo charming sana, akiwa anakuhudumia unatamani ni huyo huyo tu aje akuone, ipo ile mibandidu, hutaki hata lije likuone hata kama linamiumbo ya kimitego!

Na kwangu mimi nesi huyo possibly yuko hivo kwa wagonjwa wake wote, na huwafanyia hivo as part of healing process na si kwamba huwa anamaanisha.....! tatizo sisi miafrika demu akitabasamu au akuchekea au kakupiga bega unajua tayari imekufia au anakumind.....!

Similary huyo nesi angekuja na kauli za kijeshi.....vua ngua haraka, rara hapo kitandani, shusha suruali etc ungekuja tena kulalamika wewe.....!

Acheni hizo fikra potofu sometimes wandugu....!
 
ifike hatua tuhudumiwe na watu wa jins ze2

Hiyo yote ni kutozingatia viapo na maadili ya kazi. Ma-nurse hao na ma-doctor hao hawafai kabisa katika jamii. Kwa nini hamuwareport katika vyombo husika na nyie mwabakia kusawajika tu??? Au mwapenda wanavyo wafanyia, kuwatomasa-tomasa?? Kuna mwana-JF mmoja kaulizia hata hospital gani yenye manesi hao!!! Hatari hiyo!! Dunia hakika imekwisha!!! Unatafuta tiba ya afya hapo ama unafuata mafyampu-fyampu??!! TUJISAHIHISHE and let us observe ethical code of conduct!!! Hilo linawezekana!!!!
 
nimecheka yaani nime-imagine bahati hiyo nigeipata mimi na jinsi ambavyo ningekuwa nachekelea lol
ngoja nikugongee senks

kuumbwa mwanaume ni nusu ya kufeli maisha aisee! mimi long taim bek kuna ka daktari ka mschana kalikuwa ukienda clinic yake kanakushika shika ndani ya suruali halaf kanajifanya "we dogo mbona temperature imepanda hivi?, halaf kakinishtukia mishipa imesimama kanajifanya "ooh sorry darling skukusudia kumkera jirani yangu, nenda nje kidogo mpaka atulie" , mimi nilikuwa naenjoy kweli aisee, nikawa daily nahuzuria pale klinik japo kwa hela ya kukopa
 
Dah,,,Mkuu ulikuwa wafanya CT scan ya sehemu gani ya mwili?Uvue nguo zote!!!

Across US airports,wale jamaa wa scan wana enjoy tu nyeti za watu....maana ni full body scan,unakuwa kama upo uchi.Ni hatari sana.
 
kuumbwa mwanaume ni nusu ya kufeli maisha aisee! Mimi long taim bek kuna ka daktari ka mschana kalikuwa ukienda clinic yake kanakushika shika ndani ya suruali halaf kanajifanya "we dogo mbona temperature imepanda hivi?, halaf kakinishtukia mishipa imesimama kanajifanya "ooh sorry darling skukusudia kumkera jirani yangu, nenda nje kidogo mpaka atulie" , mimi nilikuwa naenjoy kweli aisee, nikawa daily nahuzuria pale klinik japo kwa hela ya kukopa
.

Hahahahaha,
hey kloro,mzima zile dawa zipo, nahisi umebugia zote kinyume cha masharti ya dakitari.
 
Sisi binadamu hatuna wema kabisa......! Yule dada wa watu pengine hata mawazo ya kumaanisha hicho unachotaka kutuaminisha hapa hakuwa nayo kabisa! kuna manesi wapo charming sana, akiwa anakuhudumia unatamani ni huyo huyo tu aje akuone, ipo ile mibandidu, hutaki hata lije likuone hata kama linamiumbo ya kimitego!

Na kwangu mimi nesi huyo possibly yuko hivo kwa wagonjwa wake wote, na huwafanyia hivo as part of healing process na si kwamba huwa anamaanisha.....! tatizo sisi miafrika demu akitabasamu au akuchekea au kakupiga bega unajua tayari imekufia au anakumind.....!

Similary huyo nesi angekuja na kauli za kijeshi.....vua ngua haraka, rara hapo kitandani, shusha suruali etc ungekuja tena kulalamika wewe.....!

Acheni hizo fikra potofu sometimes wandugu....!

Agiza kinywaji unachopenda. Bill kwangu.
 
Back
Top Bottom